....hayo maelezo labda umpe mtoto mdogo, au shabiki wa netiboli asiyejua mpira. Mazoezi wenyewe kwa wenyewe ni kitu ingine, na mashindano hata kama ni ya mbuzi ni kitu ingine. My pal, tena mtu wa YY alisema ukweli, wangeboronga kule ingeweza aribu kampeni za usajili....maana bado kuna soo ya usajili wa mbwembwe wa magalasa mwaka jana..!