CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

Nadir Haroub anafanya uzembe.....Anarekebisha makosa
 
ilikuwa mshanyewa nini kaka bala
Ilikuwa inaelekea wavuni kaka.....

Juma Abdul kaumia, anaingia Shamte Ally.....Godfrey Taita anarudi kama beki wa pembeni kulia...

Shamte Ally analambwa yellow kabla hata ya kugusa mpira....
 
Leo watani kazi mnayo, mechi ikiisha wachezaji wote wale panadol mbili mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…