CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

Red card kwa mchezaji MPEKO wa Vita......


Uamuzi mbovu kabisa wa Refa
 
Hivi huyu jamaa kafanya nini hadi kupewa kadi ya njano?
 
Huyu Refa anachemka live yaani.....

Shame on you CECAFA....
 
kadi nyekundu kwa mchezaji wa vita mhh haya wanaanza sasa marefa
 
CECAFA Wameshapanga matokeo, fainali azam na yanga.
 
mbona siwaelewi?????matokeo yakoje?????mimi nipo mbali na sijui kinachoendelea taifa.
 
hii red imetokana na nini? Mbona sijaelewa?
Jamaa kafanyiwa foul akaanguka,Refa anadai kadive na Replay inaonesha ni foul.....

Refa keshaharibu mchezo

Kiukweli CECAFA ni watu wa hovyo kabisa.....Wao(hasa Nicholous Musonye) wanaangalia pesa tu badala ya kuangalia kukua kwa kiwango cha soka...Wanachojaribu kufanya ni kuibeba Azam na baadaae kuibeba Yanga ili ziingie kwenye final,wapate mashabiki wengi na fedha nyingi........Huu ni upuuzi wa kiwango cha kutisha
 
mbona siwaelewi?????matokeo yakoje?????mimi nipo mbali na sijui kinachoendelea taifa.
Ni Half Time sasa

AS Vita Club 1-0 Azam

AS Vita Club wanacheza 10 baada ya mchezaji wao mmoja kupewa kadi nyekundu ya kiajabuajabu......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…