CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

HT ball possession Yanga49%:Atletico51% S9
 
Mbona wanacheza vizuri tu mkuu....Atletico ni wazuri sana jamaa langu,halafu,mpira ni dakika 90...

Kocha anawajua vizuri wachezaji wake mazoezini na si kwenye kombe la Urafiki.....Mechi nzuri ya kupima kikosi cha kwanza ilikuwa ni ile na JKT Ruvu......Hayo mashindano ya Urafiki yalikuwa ni ya kuganga njaa tu mkuu....Ndio maana unaona mashindano yamefanyika Zanzibar fainali inafanyikia Dar(ili wapate wapenzi wengi na fedha nyingi).......
 
Timu zinaingia uwanjani kwa ajili ya 2nd Half....
 

Urafiki Cup ni kwa marafiki kama Simba na Azam siyo kwa Yanga.
 
atletico siyo timu ya kubeza yanga wabadilishe fomesheni
 
Hivi mtani....Ule uwanja alioahidi Rage kwa mbwembwe na wataalamu toka Uturuki umeishia wapi?.....Vipi kuhusu Simba TV?.....

Mambo ya utani hayo wakuu...
hivi Rage yuko sirous kweli! Yondani yuko ndani au yatakuwa mambo ya uzembe wa mazembe
 
beki yanga hazijaelewana hasa kati
 
safi kocha yanga amebadilisha beki jezi 14 na kuingia mwenye jezi 28
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…