J jackson kanene Member Joined Jan 7, 2012 Posts 92 Reaction score 27 Jul 24, 2012 #1,341 jaman simba
rmashauri JF-Expert Member Joined Jan 29, 2009 Posts 3,011 Reaction score 462 Jul 24, 2012 #1,342 Hongereni Azam kwa ushindi mnono. Tunawatakia kila la kheri katika nusu fainali na fainali kwa ujumla.
Hongereni Azam kwa ushindi mnono. Tunawatakia kila la kheri katika nusu fainali na fainali kwa ujumla.
PrN-kazi JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 2,900 Reaction score 445 Jul 24, 2012 #1,343 Balantanda said: Dah....................Poleni sana watani.......Ndo ukubwa huo Click to expand... mkuu: ya leo kali. ata hivyo nashukuru Simba inaishia hapa ingeenda nusu fainali au fainali kwa mpira huu wanaocheza ingekuwa ni aibu kwa Tanzania, hatuna timu kabisa.
Balantanda said: Dah....................Poleni sana watani.......Ndo ukubwa huo Click to expand... mkuu: ya leo kali. ata hivyo nashukuru Simba inaishia hapa ingeenda nusu fainali au fainali kwa mpira huu wanaocheza ingekuwa ni aibu kwa Tanzania, hatuna timu kabisa.
G Graucho Member Joined Nov 14, 2011 Posts 53 Reaction score 4 Jul 24, 2012 #1,344 Anselm said: Afadhali lkn Sunzu katoa gundu angalau kafunga goli la offside Click to expand... Huyu Sunzu hamna kabisa, magoli yote aliyokosa eti anafunga offside..hakuwa kwenye form kabisa tangu mashindano yanaanza..Poleni sana watani..
Anselm said: Afadhali lkn Sunzu katoa gundu angalau kafunga goli la offside Click to expand... Huyu Sunzu hamna kabisa, magoli yote aliyokosa eti anafunga offside..hakuwa kwenye form kabisa tangu mashindano yanaanza..Poleni sana watani..
Mtoboasiri JF-Expert Member Joined Aug 6, 2009 Posts 5,100 Reaction score 1,955 Jul 24, 2012 #1,345 Loy MX said: ushauri au? Click to expand... Yep, ushauri wa kumshauri mtu kufunga mlango wa banda baada ya farasi kutoroka!
Loy MX said: ushauri au? Click to expand... Yep, ushauri wa kumshauri mtu kufunga mlango wa banda baada ya farasi kutoroka!
Edson JF-Expert Member Joined Mar 7, 2009 Posts 9,985 Reaction score 5,707 Jul 24, 2012 #1,346 nngu007 said: Huyu Mtangazaji gani? Hana shamra shamra kama akina Ahmed Jongo; labda nimeondoka Bongo Muda Mrefu Click to expand... hawa wa siku hizi hakuna kitu...wale kina jongo walikuwa noma...
nngu007 said: Huyu Mtangazaji gani? Hana shamra shamra kama akina Ahmed Jongo; labda nimeondoka Bongo Muda Mrefu Click to expand... hawa wa siku hizi hakuna kitu...wale kina jongo walikuwa noma...
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Jul 24, 2012 #1,347 nngu007 said: Huyu Mtangazaji gani? Hana shamra shamra kama akina Ahmed Jongo; labda nimeondoka Bongo Muda Mrefu Click to expand... Siku hizi kuna watangazaji ndugu yangu....!
nngu007 said: Huyu Mtangazaji gani? Hana shamra shamra kama akina Ahmed Jongo; labda nimeondoka Bongo Muda Mrefu Click to expand... Siku hizi kuna watangazaji ndugu yangu....!
Anselm JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 1,710 Reaction score 291 Jul 24, 2012 #1,348 Maskini Simba
RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member Joined Jan 2, 2012 Posts 883 Reaction score 169 Jul 24, 2012 #1,349 Uliumbwa kwa udongo utarudi kwa udongo - RIP SSC
Edson JF-Expert Member Joined Mar 7, 2009 Posts 9,985 Reaction score 5,707 Jul 24, 2012 #1,350 umekwisha
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 Jul 24, 2012 Thread starter #1,351 Full Time............Azam 3-1 Simba
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Jul 24, 2012 #1,352 simba hoi na dk 90+? nauliza tu maana hapa nipo kenye dala dala narudi break ya kwanza ni dompo tu kujiliwaza... poleni sana wana simba..
simba hoi na dk 90+? nauliza tu maana hapa nipo kenye dala dala narudi break ya kwanza ni dompo tu kujiliwaza... poleni sana wana simba..
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Jul 24, 2012 #1,353 Simba nje...!
Anselm JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 1,710 Reaction score 291 Jul 24, 2012 #1,354 Hii ndo Simba without OKWI na MAFISANGO,mkubali mkatae
Edson JF-Expert Member Joined Mar 7, 2009 Posts 9,985 Reaction score 5,707 Jul 24, 2012 #1,355 ndetichia said: simba hoi na dk 90+? nauliza tu maana hapa nipo kenye dala dala narudi break ya kwanza ni dompo tu kujiliwaza... poleni sana wana simba.. Click to expand... washalala 3- 1......
ndetichia said: simba hoi na dk 90+? nauliza tu maana hapa nipo kenye dala dala narudi break ya kwanza ni dompo tu kujiliwaza... poleni sana wana simba.. Click to expand... washalala 3- 1......
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Jul 24, 2012 #1,356 Makoye Matale said: Parapanda italia parapandaa, parapanda italia parapanda; wateule watakuwa wamekwisha nyakuliwa, kumlaki Bwana ... mawinguni! Bado Azam 3-1 Simba dakika 90 zimeongezwa 3 tu za kujinasua. Click to expand... nilitamani wapate penati tena...
Makoye Matale said: Parapanda italia parapandaa, parapanda italia parapanda; wateule watakuwa wamekwisha nyakuliwa, kumlaki Bwana ... mawinguni! Bado Azam 3-1 Simba dakika 90 zimeongezwa 3 tu za kujinasua. Click to expand... nilitamani wapate penati tena...
Gang Chomba Platinum Member Joined Feb 29, 2008 Posts 20,734 Reaction score 4,869 Jul 24, 2012 #1,357 leo nilikuwa nasikiliza kanda yangu niliyoirekodi miaka ile kati ya Simba na SC Villa ya Uganda... Enzi ya akina Mackenzi, Raphael Paul, Twaha Hamidu, Jamhuri Kihwelu, Frank Kasanga Bwalya, Ramadhan Leny, Issa Kihange.... dah
leo nilikuwa nasikiliza kanda yangu niliyoirekodi miaka ile kati ya Simba na SC Villa ya Uganda... Enzi ya akina Mackenzi, Raphael Paul, Twaha Hamidu, Jamhuri Kihwelu, Frank Kasanga Bwalya, Ramadhan Leny, Issa Kihange.... dah
Anselm JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 1,710 Reaction score 291 Jul 24, 2012 #1,358 Masuke pole sana ndugu yangu
M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,269 Jul 24, 2012 #1,359 Hongereni Azam, hakika mlistahili ushindi, tunawatakia kila heri huko muendako, tulipenda tuendelee lakini imeshindikana.
Hongereni Azam, hakika mlistahili ushindi, tunawatakia kila heri huko muendako, tulipenda tuendelee lakini imeshindikana.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Jul 24, 2012 #1,360 Kwa nini nusu fainali zimewekwa siku moja?