......ina ashiria nini kama Salim Kinje, Kanu Mbiyavanga na Danny Mrwanda wanaanzia benchi wakati wamesajiriwa kwa dau kubwa kwanini stumikie Club ipasavyo????
Ya jana lazima yajirudie hapo,hizo ni robo fainali za kiume tofauti na mchezo utakaofuata ambao kuna kila dalili ukaishia ndani ya dk 90
Dakika 90+2 bado Atletico 1-2 AS Vita.
KOCHA Mkuu wa Simba SC, Milovan Cirkovic, ametangaza kikosi kitakachoshuka dimbani leo hii dhidi ya Azam katika Robo Fainali ya Kombe la Kagame ambapo wachezaji Uhuru Selemani na Jonas Mkude wataanza.
Kikosi hicho kinaundwa na Juma Kaseja, Haruna Shamte, Shomari Kapombe, Juma Nyoso, Lino Masombo, Jonas Mkude, Mussa Mudde, Mwinyi Kazimoto, Felix Sunzu, Haruna Moshi na Uhuru.
Benchi watakuwepo; Waziri Hamad, Obadia Mungusa, Kiggi Makassi, Salim Kinje, Kanu Mbiyavanga, Dani Mrwanda na Amri Kiemba.
Aibu.....
Yaani yanga baada ya kumchagua manji kuwa wanyekitio wao basi yanajiona kama ndiyo malaika katua jangwani ndiyo maana mimi naomba tukutane nao halafu tuwatandike...
Sasa unafurahia,wee Chizi kwelikweli
Simba kucheza na AS Vita...hahahah
Hapa Simba tukipita nusu fainali ishakuwa ngumu.
Unachekesha.
Yanga=CCM...hivyo hata kuropoka kwenu kunafanana kabisa na mijitu ya pale bungeni.....
Chadema hatuna mapunguwani kiasi hicho....Hapa umekuwa kama Lusinde wa
CHADEMA.
Yanga=CCM...hivyo hata kuropoka kwenu kunafanana kabisa na mijitu ya pale bungeni....ulisema mechi hii itaenda matuta ukabeza mechi inayofata sasa mechi imeisha ndani ya dakika 90, unasemaje....