Mimi sio kocha lakini Gumbo ni mzuri sana akitokea pembeni kwa sababu ana kasi, kwa hiyo angekaa kushoto, Shamte Ally kulia, Chuji dimba la chini na Niyonzima dimba la juu halafu Kiiza na Tegete ndo wangekaa kwenye sebule, Kiiza ni mzito kucheza pembeni.