Mkuu Balatanda, pengo ni Emmanuel Okwi lakini la Patrick Mutesa Mafisango kwa maana ya namba sita Musa Mude na Jonas Mkude wanaziba vizuri sana, labda kama ni uwezo wa Mafisango kwamba alikuwa anaweza kucheza namba nyingi lakini mtu wa hivyo tunaye Shomari Kapombe na Kigi Makasi.