ni kweli, ingekuwa vizuri tungepata nafasi ya kulipa kisasi na ingezekana, lkn oia kwa maslahi taifa ningepenga tusikutane na Azam sasa hivi ili timu zetu nne ikiwemo na Mafunzo zote ziingie nusu fainali
Kama matokeo yataisha kwa Simba kufungwa kwenye mechi hii, hela yangu niliyopanga kwenda robo fainali inabidi nikanunulie hot chair.ni kweli, ingekuwa vizuri tungepata nafasi ya kulipa kisasi na ingezekana, lkn oia kwa maslahi taifa ningepenga tusikutane na Azam sasa hivi ili timu zetu nne ikiwemo na Mafunzo zote ziingie nusu fainali
goli linanukia la kusawazisha
Kama matokeo yataisha kwa Simba kufungwa kwenye mechi hii, hela yangu niliyopanga kwenda robo fainali inabidi nikanunulie hot chair.
mkirudisha mungu mkbwa huko mbele full ugomvi..
mpira unaochezwa na Simba utafikiri hawataki sijui nini kinawachanganya!!.kazi ipo kweli kweli kusawazisha
kiemba amtoe