Mkuu hakuna haja ya usajili, vijana waliopo ni wazuri sana tatizo ni upangaji wa kikosi pamoja na kuacha vijana wengine kwa sababu haya mashindano ni wachezaji ishirini tu ndo walikuwa wanatakiwa.
haohao ishirini ndo walionekana BEST sasa kama wanatuangusha na hao waliosalia sizani kama wanaweza kuwa msaada mkubwa kwetu zaidi ya hawa tuliowatanguliza mkuu.
pengo limeongezeka zaidi hasa baada ya Abdalah Juma kutoka; Sunzu anachoka amebaki peke yake labda aingie Boban anaweza kusaidia kuongeza mashambulizi.
Maneno machafu si jadi yangu, asante kwa yote, bahati nzuri sina mke hivyo sina haja ya kuwa na hasira na wewe kwa kauli hiyo, ninachofanya ni kukupuuza tu Mkuu.
ha ha ha ha Masukeee ha ha ha ha ha hii ndio raha ya Jf na kukutana na wale wanaojua mpira,kuna jitu linasema eti tunapoteza muda kufatilia mashindano haya kisa kocha wa simba hakijui kiingereza vzr
haohao ishirini ndo walionekana BEST sasa kama wanatuangusha na hao waliosalia sizani kama wanaweza kuwa msaada mkubwa kwetu zaidi ya hawa tuliowatanguliza mkuu.
Mkuu utakubaliana nami kwamba upangaji wa kikosi ni tatizo pale kocha atakapobadili kikosi, sisi tunacheza bila typical winga hata mmoja kidogo leo Kigi kaingia naye kwa sababu ameingia baada ya mtu kuumia anaweza asiwe na confidence ya kutosha kuhimili mikiki ya Wakongo.
ni kweli, ingekuwa vizuri tungepata nafasi ya kulipa kisasi na ingezekana, lkn oia kwa maslahi taifa ningepenga tusikutane na Azam sasa hivi ili timu zetu nne ikiwemo na Mafunzo zote ziingie nusu fainali
kidogo simba wanajua ila vita washajua kule upande wa namba 2 ni uchochoro ila mwenye kiduku huyo beki ni noma balaa tupu...anaejua jina lake aniambie niimpe fomu ya usajili azam..