CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

Yanga mkiruhusu hizi kona mara kwa mara zinaweza kuwa-cost
 
BERKO ni kipa mzuri sana.......Kaumia tena..

Beki na kiungo cha Yanga wanakatika sana kiasi cha kumtesa kipa Yaw BERKO....
 
Yanga wanashambuliwa sana sasa....

Inaonekana wamechoka....
 
Yanga wanaruhusu sana mashambulizi aise
 
Huyu beki wa APR kafanya uzembe ambao hatausahau maishani mwake....

Safi sana Buhanuzi...
 
Freekick kuelekea lango la Yanga....

Karekezi anapiga...

Berko anacheza...Kona........Berko anadaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…