Mimi huwa nashangaa kila mara watangazaji wa CECAFA mashindano wanatokea kenya kila wakati,kwa nini?
Jamani watangazaji wa kibongo mko wapi...mbona tunakuwa nyuma sana...au wa TZ hatuna ujuzi wa kuongea KIINGEREZA vizuri?Au tuna tatizo gani....mbona kila mwaka wa kenya?