Kuna kauli niliisoma juzi nikatamani kutafuna keyboard. Eti kanu alipangwa huku akiwa na Malaria..... ebo sasa kwa nn apangwe kama alikuwa anaumwa wakati tuna players wengine kibao ? Nimesoma hizo changes za Nyosso kuingia badala ya Kihemba so hope Kiraka kapombe either anapanda kuwa defensive midfield au hata mbele zaidi ili Kazimoto au Kanu arudi hapo katikati nyuma !!
Goli la offside,Abdalah Juma alikuwa Offside kabisa
hawa vijana wanaoitwa Kinje na Kigi Makasi wamesajiliwa kufanya nini mbona hawatumiki?
Goli la offside ndo goli gani?
hawa vijana wanaoitwa Kinje na Kigi Makasi wamesajiliwa kufanya nini mbona hawatumiki?