Full Time; URA 3-1 VITA Club.
Bado bila bila dakikia ya 15.
Shukran Mkuu Masuke, list ikoje leo ? Dah pamepoa sana hapa !!
Dak26, bila bila.
Mhh zis iz not gud..... !! Wanaweza pata nafasi moja hawa wakaliza watu !!
Simba tumeishakuwa vilaza sasa hata hawa vibonde tunashindwa kuwafunga
Mkuu hata upangaji wa kikosi ni tatizo, sidhani kama ni busara ukapanga kikosi bila ya typical winga japo mmoja.