mkuu tuwasamehe.. hawa jamaa ni wachanga kwa kila kitu bado hawajatengamaa
mpira wa Yanga ukoje kwa ujumla wadau
mpira wa Yanga ukoje kwa ujumla wadau
Ahsante sn..maana unawezakuta wanafunga goli nyingi lakini mpira wao wa hovyo tu.Wanacheza vizuri...
Ili kuleta haki ya mchezo wa soka inabidi iwe kama ngumi za kwamba wenye uzito unaofanana ndo wapigane, CECAFA wangetenda haki endapo Wau Salaam na Port pamoja na mafunzo wangekuwa kundi moja, Azam angechukua nafasi ya Wau Salaam na Tusker angechukua nafasi ya Port.
Wau salaam na port wangeondolewa kabisa na wasiruhusiwe kushiriki kabisa.
duh! nchi zao zingewakilishwa na nani?
Timu za taifa, either za wakubwa au hata U-20 !!
mantiki itakuwa wapi mkuu, haya ni mashindano ya VILABU na si TIMU za TAIFA.
TIMU za TAIFA mashindano yao ni yale ya CECAFA SENIOR CHALLENGE CUP
Mkuu sote tunafahamu timu dhaifu ni zile ambazo nchini mwao kuna rabsha za kisiasa, hasa hasa ni zile timu kutoka Somalia, Eritrea, Djibout na hatimaye mwaka huu toka Sudan Kusini.Ndiyo exceptions zenyewe hizo, kama walikuwa wanaalika timu za mataifa yaliyo nje ya CECAFA ili kuongeza ushindani na kukuza kiwango, they can do the same maana hii inashusha kiwango kama hizi ndiyo timu mabingwa wa nchi !!
Timu za taifa, either za wakubwa au hata U-20 !!
Mkuu sote tunafahamu timu dhaifu ni zile ambazo nchini mwao kuna rabsha za kisiasa, hasa hasa ni zile timu kutoka Somalia, Eritrea, Djibout na hatimaye mwaka huu toka Sudan Kusini.
Pamoja na hayo bado kuna timu alikwa ambayo ni VITA CLUB toka DRC.
Nadhani ukanda wetu una maendeleo dhaifu ya mpira wa miguu, ni kutokana na kutosa misingi ya soka la yosso.
mkuu umewai kuona vilabu vinashiriki mashindano ya pamoja na timu za taifa.?
Mkuu hakuna rule ambayo inasema hii haiwezekani, ni uamuzi wa conferedation husika. Hujawahi kusikia timu ya taifa, au ya u-20 au hata 17 imeshiriki mashindano yanayohusisha clubs ?