Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 486
Mkuu Balantanda.
Wambie Crashwise na Ivunga wapevuke wakiona baba kafa kwa mdudu hivi kweli walitegemea mamá au mke(simba) apone kifo kweli?
mkuu endelea kutujuza.!dk70 APR 0: Atletic 0
dk 20, yanga 3 wasudan 0
Hizi timu nyingine zisingekuwa zinaruhusiwa kushiriki, hata timu yetu ya mtaani haiwezi kufungwa na yanga bao zote hizo.