CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

Kiukweli mimi nilivyoona kikosi tu kilichoanza nikakosa imani kabisa na kweli yaliyotokea yametokea jamaa wametunyosha sana leo, mpaka sa hivi sielewi kwa nini kocha aliamua kuwaanzisha Danny Mrwanda, Haruna Shamte na Obadia Mungusa; hata kipindi cha pili baada ya sub alizofanya zilikuwa irrelevant, naamini kama angeaamua kutumia wachezaji wengine mfano Kapombe badala ya Mungusa au badala ya Haruna Shamte na Salim Kinje/Uhuru Selemani badala ya Mrwanda hali isingekuwa kama hii, hata Amri Kiemba hii mechi haikuwa yake. Anyway ngoja tumwachie kocha yeye ndo anayekaa na timu na anawajua wachezaji.

All in all URA wametumia udhaifu tuliokuwa nao vizuri na hongera zao.

Poleni wadau wenzangu wa Simba, Crashwise, Saint Ivuga, Bemg na wengine wote.
 

Mkuu unachosema ni kweli huwezi kumchezesha Amri Kiemba nane utegemee kupata through pass, na kwa sababu winger ni kama zilikuwa zimekufa ndo hata square pass hazikiwepo kilichosababisha kukosa krosi za maana kuja kwenye sebule ya wapinzani.
 
hawa wachezaji wa Simba na Yanga wanazingua; usajili wa mbwembwe, mazoezi na mafundisho wanayopewa bado wanatoka uwanjani bila goli!!!!
 
Asante mkuu.Kweli simba kwa mbele dani mrwanda hakufanya laamana pia kiemba, shamte mechi ya leo hawajafanya vzr.Kwakuwa tuna kocha Prof mechi zinazofuata kikosi kitabadilika na kitakuwa cha ushindi
 
Simba hovyo tu kama Yanga, afadhali hata Yanga wana nafuu maana kocha wao ni mpya lau wana kizingizio.
Nadhani Bongo tumezoea kubebwa.
 
Wajameni namtafua Crashwise.......Mmenionea wapi huyu ntu?
 
Last edited by a moderator:
walisema Chaka la Simba Nguruwe hawalali...asa leo Nguruwe wamelala na kubinuka Salakasi mchana kweupeee
 
Heheeee....

Namtafuta Crashwise wajameni...

Mkuu Balantanda.
Wambie Crashwise na Ivunga wapevuke wakiona baba kafa kwa mdudu hivi kweli walitegemea mamá au mke(simba) apone kifo kweli?
 
Kweli wahenga walinena "USIMTUKANE MAMBA KABLA HUJAVUKA MTO"Simba mnaona sasa jamaa wamekopi wakapesti.na wewe pole mtan
 
Mkuu Balantanda.
Wambie Crashwise na Ivunga wapevuke wakiona baba kafa kwa mdudu hivi kweli walitegemea mamá au mke(simba) apone kifo kweli?

Simba 5 Yanga 0. Aaaah, nimejisahau kumbe hii ni CECAFA Kagame Cup!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…