CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

wake up simba dakika zinayoyoma tunataka goal 2
 
sasa uhai mbele unaanza kuonekana faulo
 
pasi za mwisho kwa simba bado nitatizo
 
Zile faulo Maftah inabidi aangalie sana ksbb tayari ana yellow card
 
simba wakomae bwana isije ikawa kama mtani jana watu walitoka vichwa chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…