Mkuu nipo tena uwanjani kabisa ndo maana huoni post zangu, jana kocha nimempagia kikosi sijui kwa nini hajakitumia, kuna watu wazuri sana nje na kama kocha atawatumia basi tunaweza kufanya vizuri ila kipindi cha kwanza jamaa wamecheza vizuri kuliko sisi.