Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,824
- Thread starter
-
- #261
Hakuna cha aibu wala nini...Timu zote zina nafasi ya kufanya vizuri mkuu...Simba watavuka tu kwenda Robo fainali,Yanga kundi lao zinavuka timu tatu kama sikosei hivyo ni rahisi kwao kwenda QF...Aibu ya tz itaokolewa na azam mwaka huu!
Namba 4 na 5 ni Nyoso na nani?
Bado mapema...
Hakuna cha aibu wala nini...Timu zote zina nafasi ya kufanya vizuri mkuu...Simba watavuka tu kwenda Robo fainali,Yanga kundi lao zinavuka timu tatu kama sikosei hivyo ni rahisi kwao kwenda QF...
Kiungo cha Simba kimepwaya,pia mabekiwa hawaelewani...wanafanya ujinga ambao utawagharimu...
Sunzuuuuuu......Offside
Saint Ivuga; Habari ndiyo hiyo, maumuivu ya kichwa huanza pole polee ...
Saint Ivuga; Habari ndiyo hiyo, maumuivu ya kichwa huanza pole polee ...
na Obadia Mungusa
inabidi Kazimoto arudi kati mkuu
Inaonekana hawajazoena bado.
Mkuu umeziona hizo 'one two' za URA?
HT Azam FC 1 - 0 Mafunzo
Mkuu nipo tena uwanjani kabisa ndo maana huoni post zangu, jana kocha nimempagia kikosi sijui kwa nini hajakitumia, kuna watu wazuri sana nje na kama kocha atawatumia basi tunaweza kufanya vizuri ila kipindi cha kwanza jamaa wamecheza vizuri kuliko sisi.Tatizo la Simba lipo kwa beki...Namba 4 na 5 hawaelewani...
Leo siwaoni Masuke na Crashwise...Ama wanasubiri mpaka Simba wafunge ndo waanze kupost?,wasalimu ukiwaona...
Dakika ya 30
Simba 0 - 1 URA
Mtaalamu Owen Kasule kaumia...
huku chamazi tupo na kocha wa yanga