Mtani nakushukuru;.........Nyosso anapenda sana kucheza kwa jaziba inampelekea kusahau majukumu yake; Ssentongo ni mjanja sana anatakiwa akutane na beki aliyetulia.
Mtani
nakushukuru;.........Nyosso anapenda sana kucheza kwa jaziba inampelekea
kusahau majukumu yake; Ssentongo ni mjanja sana anatakiwa akutane na
beki aliyetulia.
Simba wana nafasi kubwa ya kusawazisha na kuongeza magoli...Cha msingi Sunzu, MBiyavanga na Mrwanda watulie tu.....Pia Nyosso na Mungusa kule nyuma watulie maana mpaka sasa hawaelewani