hATA SIMBA NITAWASHANGAA WAKIINGIZA TIMU BADALA YA KUIWEKA KAMBINI KWAAJILI YA LIGI KUU NA KLABU BINGWA BARANI AFRIKA..Kocha Tom Saintfeit amesema Yanga haitashiriki mashindano hayo ya kuwatengenezea fedha TFF na washirika wao mashindano amabayo yanaumiza tu wachezaji......
Amesema yeye anataka kuandaa na kutengeneza timu ya ushindi....
giiiiiiiiiiii kwani simba leo amecheza....tuna wadai goli 5.
Hongereni sana vijana wa jangwanii
Kata kidomo domo baada ya 'kuwaonja' wana tamtam azam a.k.a 'mnyama b'
Wamebana wamebana mwisho wameuachiaaa tukawaingizia Mbili mtungi
Wameozoea kubebwa bebwa kwenye kombe la mbuzi ( ? ligi kuu ya Kibongo) wakati cheche tuuu hawana lolote
nIMEPENDA KITU KIMOJA AZAM HAWA PANIC HATA KAMA WAMEFUNGWA WANACHEZA MPIRA WAO UKIONDOA UZEMBE MDOGO MDOGO KWELI LIGI KUU ITAKUWA YA USHINDANI MKUBWA...mwambie huyo mziki wa azam sio mchezo ila msimu ujao tutachukua tu ndo kwa kitoto chaanza tambaaa....
nIMEPENDA KITU KIMOJA AZAM HAWA PANIC HATA KAMA WAMEFUNGWA WANACHEZA MPIRA WAO UKIONDOA UZEMBE MDOGO MDOGO KWELI LIGI KUU ITAKUWA YA USHINDANI MKUBWA...
sASA SISI SI NDIYO WAUMEZAO, WEWE UKIKUTA MKEO KAVAA NGUO YAKO UTAMPIGA...LOLNaona wanatuchokoza. Halafu hawa Kandambili hadi staili ya kushangilia wametuiga - SIMBA TAIFA KUBWA
Azam KIHEREHERE! Kameanza mambo ya kikubwa kakiwa kadogo, anyway Mny. Simba, SC kalimtwanga brain concurssion, leo kamechapwa! Hata hivyo sio kazuri kama Sweet wetu, angekuwa yeye tungepiga mara 7.
ngalu na kolwa
Simba utawajua tu!Hivi huyu Mustapha ataacha huu ujinga wa kupoteza muda lini...ni mambo ya kizamani...
nIMEPENDA KITU KIMOJA AZAM HAWA PANIC HATA KAMA WAMEFUNGWA WANACHEZA MPIRA WAO UKIONDOA UZEMBE MDOGO MDOGO KWELI LIGI KUU ITAKUWA YA USHINDANI MKUBWA...
ninacho shukuru ni kitendo cha azam kuwa timu inayokubalika tz viva la azam fc