CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

naona chuji yuko chini kapata dhahama kidogo
 
Umeona huyu Muingereza wenu?....niliwaambia huwa anamtumia Mrisho Ngassa akiona maji yamefika shingoni
 
Lakini Ngasa mbona kashangiliwa sana na vijana wa jangwani?
 
mchezo wa mpira hauna utabiri wakueleweka kumbe hata Liverpool anaweza kufungwa na Mafunzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…