CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

wachezaji wayanga bwana anataka kucheza kung fuu uwanjani bwana..
 
mwe hawa yangu mbona wanaurukisha moyo wangu kichura chura...
 
mwe hawa yanga mbona wanaurukisha moyo wangu kichura chura...
 
Siwaoni mashabiki wa Yanga hapa kutuletea update au kama kawaida yenu mnasubiri mpate goli?
 
bocco vipi leo au umekula mipesa ya manji?
 
Yanga mpaka sasa wamedefend vizuri sana na mabeki wamekuwa na nidham hawechezi rafu za kizembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…