CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

Balantanda

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2008
Posts
12,484
Reaction score
4,821
kagame-cup-2012.jpg


FIXTURES

Sat. 14[SUP]th[/SUP] July 1 APR vs WAU SALAAM Uwanja wa Taifa 2pm

2 YANGA vs ATLETICO Uwanja wa Taifa 4pm



Sun. 15[SUP]th[/SUP] July 3 AZAM vs MAFUNZO Chamazi 4pm
4 SIMBA vs URA Uwanja wa Taifa 4pm


Mon. 16[SUP]th[/SUP] July 5VITA CLUB vs PORTS Uwanja wa Taifa 2pm




Tue. 17[SUP]th[/SUP] July 6 ATLETICO vs APR Uwanja wa Taifa 2pm
7 WAU SALAAM vs YANGA Uwanja wa Taifa 4pm



Wed. 18[SUP]th[/SUP] July 8 VITA CLUB vs URA Uwanja wa Taifa 2pm
9 PORTS vs SIMBA Uwanja wa Taifa 4pm



Thu. 19[SUP]th[/SUP] July 10 ATLETICO vs WAU SALAAM Uwanja wa Taifa 2pm
11 MAFUNZO vs TUSKER Uwanja wa Taifa 4pm



Fri. 20[SUP]th[/SUP] July 12 PORTS vs URA Uwanja wa Taifa 2pm
13 YANGA vs APR Uwanja wa Taifa 4pm



Sat. 21[SUP]st[/SUP] July 14 AZAM vs TUSKER Uwanja wa Taifa 2pm
15 SIMBA vs VITA CLUB Uwanja wa Taifa 4pm



Sun. 22[SUP]nd[/SUP] July REST DAY

QUARTER FINALS
Mon. 23[SUP]rd[/SUP] July 16 B2 vs C2
17 A1 vs C3


Tue. 24[SUP]th[/SUP] July 18 C1 vs A2
19 B1 vs A3


Wed. 25[SUP]th[/SUP] July REST DAY

SEMI FINALS
Thu. 26[SUP]th[/SUP] July 20 Winner 16 vs Winner 17

Thu. 26[SUP]th[/SUP] July 21 Winner 18 vs Winner 19


Fri. 27[SUP]th[/SUP] July REST DAY

FINALS AND 3[SUP]rd[/SUP] PLACE PLAY OFFS
Sat. 28[SUP]th[/SUP] July 22 Loser 20 vs Loser 21
23 Winner 20 vs Winner 21
 
Asante kwa hii thread, mechi ya kwanza nadhani itakuwa tayari imeanza...
 
Naona TBC1 wanapiga promo kwamba watarusha mechi hizo LIVE.
 
Mbona hawajarusha mechi ya kwanza? Au wanampango wa kuwa wanarusha mechi za pili tu za saa 10 jioni.
 
Yanga kikosi Imara mno, kitamchapa simba kwenye Fainal
 
Mechi ya kwanza kati ya APR na WAU SALAAM ipo Live Super Sport....

Ni dakika ya 57 sasa na APR wanawaadhibu vilivyo vijana wa South Sudan....

Mpaka sasa matokeo ni APR 6-0 WAU Salaam

Mechi ya pili itaoneshwa na TBC 1&2
 
Mmh ebana hao APR hawana masikhara kabisa..inawezekana wakasumbua zaidi.
Mechi ya kwanza kati ya APR na WAU SALAAM ipo Live Super Sport....

Ni dakika ya 57 sasa na APR wanawaadhibu vilivyo vijana wa South Sudan....

Mpaka sasa matokeo ni APR 6-0 WAU Salaam

Mechi ya pili itaoneshwa na TBC 1&2
 
wadau tuendelee kuhabarishana..natamani siku ziende fasta nirudi bongo kabla hili kombe halijaisha..pamoja sana Balantanda Katavi na wadau wengine
 
Namuamini Balantanda huwa hatuangushi tuliopo mbali.. Shukrani sana Mkuu
wadau tuendelee kuhabarishana..natamani siku ziende fasta nirudi bongo kabla hili kombe halijaisha..pamoja sana Balantanda Katavi na wadau wengine
 
Last edited by a moderator:
Yanga kikosi Imara mno, kitamchapa simba kwenye Fainal
Haya ndo matatizo yetu mashabiki yaani michezo ndo inaanza leo wewe unaanza kusema Yanga itamchapa Simba fainali je zikitolewa zote mapema zikafika fainali timu zingine si ndo utaanza kulalama zimefanyiwa hujuma.
 
Hawa vijana wa Sudan pamoja ugeni wao wanajitahidi sana...Wanashambulia na wanajaribu kushoot kwa mbali...

Kipa Jean Claude Ndoli wa APR ndio kikwazo kwao....
 
Back
Top Bottom