kitalolo JF-Expert Member Joined Dec 4, 2006 Posts 1,827 Reaction score 708 Feb 9, 2013 #1 Huwa sijui ni kwanini hamu ya kuangalia habari kwenye hii chaneli inakuwa juu sana habari zao ni mototo haswa za bara afrika kutoka studio za Nairobi
Huwa sijui ni kwanini hamu ya kuangalia habari kwenye hii chaneli inakuwa juu sana habari zao ni mototo haswa za bara afrika kutoka studio za Nairobi
M Mkeshaji JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 4,258 Reaction score 1,418 Feb 9, 2013 #2 Kwa hiyo hiyo picha hapo ndo inakuzingua. Kaazi kweli kweli!
kitalolo JF-Expert Member Joined Dec 4, 2006 Posts 1,827 Reaction score 708 Feb 9, 2013 Thread starter #3 Mkeshaji said: Kwa hiyo hiyo picha hapo ndo inakuzingua. Kaazi kweli kweli! Click to expand... we ni kitalolo kweli unakesha bure kliki hapo ulle manyuzi
Mkeshaji said: Kwa hiyo hiyo picha hapo ndo inakuzingua. Kaazi kweli kweli! Click to expand... we ni kitalolo kweli unakesha bure kliki hapo ulle manyuzi
M Mkeshaji JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 4,258 Reaction score 1,418 Feb 9, 2013 #4 kitalolo said: we ni kitalolo kweli unakesha bure kliki hapo ulle manyuzi Click to expand... Kifua cha huyo binti ndio nyuzi!
kitalolo said: we ni kitalolo kweli unakesha bure kliki hapo ulle manyuzi Click to expand... Kifua cha huyo binti ndio nyuzi!
Alvin Slain JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 6,375 Reaction score 3,668 Feb 9, 2013 #5 sio lazima unachopenda ww na wengine wakipende ebooo
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 5,006 Feb 9, 2013 #6 Una matatizo wewe!!!!
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,828 Reaction score 12,321 Feb 9, 2013 #7 Afadhali Grace Kingalambe wetu.
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,664 Feb 9, 2013 #8 Mbona ni wa kawaida saaanaa.