Aisee kuna footage moja ni very weird,jamaa anavamiwa na mtu aliyekuwa anamvizia kwa nyuma,jamaa anaangushwa chini then linaonekana dubwasha linainuka kumvamia yule mvamiz huku yule mwamba bado yuko chini baadae anainuka lile dubwana linakuwa kama linamvaa then linapotea...yule mvamiz analiona lile dude akakimbia na jamaa nae akajisepa...ilinitafakarisha sana