Una uhakika? Lissu hakutaka Mbowe atoke mahabusu
Acha upumbavu, aumie nini wakati yeye alikuwa wa kwanza kuonana na Rais tena wakati mkiti wake akiwa mahabusu? Wahutu hampendi nchi itulie, mnataka mifarakano tu muda wote, sijui inawanufaisha vipi? Hiki kizazi cha jiwe na wapambe wake kama wewe ni cha kukifutilia mbali, ni watu wabaya sana katika taifa hili! Na yule chizi angeendelea hadi 2025 hii nchi ingeingia vitaniNamsikitikia Tundu Lissu maana alipo anaumia
Hiyo ya awali ilifunguliwa wapi na ilikuwa namba ngapi?
Bange za mchana mbaya sana kwa kweli!
Tanzania hakuna upinzani...bali kuna mfano wa upinzani
Wanajaribu kumkubali Samia ili kumkomoa Magu ila sasa nature inawapiga chenga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Swali zuri sana. Kwa suti ile oversize aliyovaa huenda alitolewa jela moja kwa moja hadi Ikulu na kukabidhiwa suti ile avae akaonane na rais.
Sasa angefanyaje? Angejirusha kutoka garini aende kuonana kwanza na akina Kibatala?
Saa nyingine mnapaswa kuwa realistic kabla ya kukimbilia kushusha maneno.
Jiwe alishakufa!
Hangaya akamsweka ndani,! Mbowe akakaza fuvu, huku mkimtukana Zitto alipomwambia Samia amsamehe Mbowe.
Mbowe alijifanya Mwamba, nunda kakaza fuvu kwa miezi nane alafu ameenda kusujudu kizembe namna hii?
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Kama ulikuwa unajua Mbowe yupo ndani kwa kesi ya uwongo na ghilba za CCM, mbona hujawahi kukemea unyama Huo? Leo unakuja na nsha ndefu ya kumponda huyuhuyo aliyeteswa badala ya mtesaji? Lini mtaacha unafiki wenu enyi MATAGA?Hata kama inaenda mrama, wapinzani are not capitalizing on it!
Very disappointing.
TUNAJUA NI WADHUNGU NDO WAMEAMUA HIVYO HAKUNA CHA CCM AU YEYOTE. YULE.Subiri Ukawa waje kukujibu.
Lakini CCM inaenda mrama now adays
Sijamlaumu!
Ila nashangaa alikaza fuvu alafu kaenda kusujudu kwa mtesi wake kindezi namna ile
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏Unamlaumu nani?. Aliyemfutia mashtaka au aliyefutiwa mashtaka. Sio kila mtu ana roho mbaya, wengine wana roho ya kujishusha ndio maana Tanzania Ina amani mpaka leo. Maana Kuna Maisha baada ya hapa duniani. Halafu usipenda kumuita mtu mjinga kiss yupo tofauti na hisia zako.
Muda ndiyo utakaotuambia kwamba hii fursa wataitumia je? Ili waweze kutuhakikishia kwamba kweli kuna upinzani Tanzania. Maana inaogopesha sana kushuhudia watu tena wazito wanatoka chama tawala wanajiunga na upinzani baada ya muda mfupi unasikia karudi. Mara mpinzani kafungwa, muda si mrefu , unasikia kafunguliwa jana na leo anaapishwa kuwa Mbunge wa viti maalum japo chama chake hakimtambui. Sasa tutajuaje kama huyu aliyeachiwa jana kaenda Ikulu kwenda kuchukua hundi yake?Mbowe na makomandoo watatu wanaonekena kuwa wahanga wa utawala na siasa za jiwe zaidi kuliko mrithi wake na CCM kwa ujumla. Wanaoonekana kukerwa na kuteseka zaidi Mbowe kuachiwa ni mataga na hardliners kwenye system waliorithiwa kutoka enzi za jiwe na hao ndio watatupiwa lawama yote katika sakata la Mbowe. Hili ni jambo zuri kwa afya ya taifa letu na demokrasia yetu.
Ni fursa nzuri kwa upinzani nchini.
Vita ni vya YEHOVA. AMENUbaya haulipwi kwa ubaya. Msamaha ni adhabu kubwa kwa wadhalimu.
Aliitwa ndio akaenda. Hakujipeleka.Una hakika alikwenda mwenyewe au alipelekwa na watesi wake?
Nimekemea sana tu!Kama ulikuwa unajua Mbowe yupo ndani kwa kesi ya uwongo na ghilba za CCM, mbona hujawahi kukemea unyama Huo? Leo unakuja na nsha ndefu ya kumponda huyuhuyo aliyeteswa badala ya mtesaji? Lini mtaacha unafiki wenu enyi MATAGA?
Jaribu kuwa fair kidogo,Mandela alifungwa miaka 27,alipotolewa jera,alienda kukutana na waliomtesa,wa SA na Ulaya na USA!!It’s now not even debatable that CCM know how to play the game of politics better than anybody.
They have an indescribable svengali type of hold on the rest of the opposition parties that renders them [the opposition] functionally ineffective.
For the life of me, somebody explain it to me. Make it make sense;
1. Unakamatwa na kufungwa bila kosa/ makosa.
2. Unafunguliwa mashitaka ya uongo/ kizushi ambayo hayana dhamana [ili usote mahabusu].
3. Tunaambiwa eti wewe ni gaidi na ushahidi upo unaothibitisha hilo [licha ya kwamba mtu yeyote mwenye akili anajua wewe siyo gaidi].
4. Kesi inaendeshwa kwa mwendo wa konokono kwa makusudi tu ili uendelee kutaabika jela.
5. Kwa vile mashitaka ni ya uongo/ kizushi, kesi inadhihirika kuwa kituko baada ya mashahidi kuanza kutoa ushuhuda wao.
6. Baada ya miezi takriban minane [8], mwendesha mashitaka ananena kuwa hana nia ya kuendelea na kesi.
7. Sijui hiyo nia ya kutotaka kuendelea na kesi imemjia lini? Labda alioteshwa usiku 🤣.
8. Mashitaka yanatupiliwa mbali. Unaachiwa huru baada ya kusota lupango kwa muda wote huo.
9. Wamekupotezea muda kwa mambo ya kizushi. Wamekutesa. Wamekunyanyasa. Wamekuvunjia heshima. Wamekuzushia mambo ya ajabu.
10. Licha ya yote hayo ambayo ni dhahiri shahiri waliyafanya kwa makusudi tu ili unyanyasike, hutopewa fidia yoyote ile.
11. Ulichoambulia ni kualikwa ikulu kwenda kukutana na mtu aliyesababisha madhila yote hayo dhidi yako. Kwenye picha nilizoziona, sikuona bilauri za juisi kama tulivyowahi kuziona hapo zamani mlipoitwa ikulu baada ya kupigwa virungu na kumwagiwa maji ya upupu. Safari hata juisi ya Sayona hukupewa! Au ulikunywa?
12. Unatoka jela, badala ya kukutana na kuongea na watu waliosimama na wewe muda wote huo ambao uliporwa uhuru wako, wewe unaenda moja kwa moja kuonana na kucheka cheka na mtu aliyekusababishia madhila yote hayo uliyoyapitia katika hizo siku 200 na kitu.
13. Umekosea sana aisee. Yeye ndo alipaswa aje kwako kukuona. Yeye na serikali yake ndo wanapaswa kukuomba radhi kwa usumbufu waliokuletea wewe pamoja na familia yako. Wao ndo wanapaswa kukufidia vyote ulivyopoteza pindi walipokuwa wamekufunga.
14. Umeonyesha udhaifu mkubwa sana ambao CCM wataendelea kuutumia kuwapumbaza na kuwahadaa kwa siku, miaka, na miongo ijayo.
15. CCM wataendelea kuwapiga, kuwanyanyasa, kuwatendea vibaya, na mwisho wa siku watawaalikeni ikulu muende kupiga picha, kunywa juisi, na kula biskuti halafu mnasahau kabisa mabaya yote mliyotendewa. Mko wepesi mno wa kusamehe na kusahau.
Sioni kabisa CCM ikitoka madarakani kwa upinzani huu tulionao. Hata kwenye katiba mpya, kama ikija kupatikana, mtahadaiwa na kurubuniwa tu. Na mtalia weee hadi mtachoka na kunyamaza.
16. Wapinzani wa Tanzania wakiongozwa na CHADEMA, hamna kabisa uti wa mgongo.
Just a bunch of weak weasels.
kwani inashindikaje sasa! ni ishu ya uungwana tuKwamba Madam President Samia kamuomba Chairman Mbowe msamaha?
Wewe!!