CCM’s svengali hold

CCM’s svengali hold

Hahahha... Yani bado tu hamtaki kuamini kama Samia kawazidi akili na mnataka hata hili kumdondoshea zigo Magu?

Toka july hadi oktoba Mbowe alikuwa anazunhuka nchini kupiga kampeni za kumnadi Lisu!..

Twambie hiyo kesi ilifunguliwa lina na nani.?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app

Kesi ya awali ilifutwa, ndio ikafunguliwa nyingine ambayo Mh Mbowe akaunganishwa. Tatizo unaongea bila kujiridhisha.
 
Hwataki kuamini kama Samia keshawazidi kete! Ila wanajaribu kujifariji kwamba Magufuli ndio alimkamata Mbowe!

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Mataga ndio wamenuna na kufura!
 
Hakukuwa na haja ya kumkamata Mbowe, period!

Si 2020, si 2021.

Yeye kakamatwa 2021. Kakamatwa Samia akiwa Rais.

The buck stops with her. Period, end of sentence.
Wanajaribu kumkubali Samia ili kumkomoa Magu ila sasa nature inawapiga chenga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Jiwe alishakufa!

Hangaya akamsweka ndani,! Mbowe akakaza fuvu, huku mkimtukana Zitto alipomwambia Samia amsamehe Mbowe.

Mbowe alijifanya Mwamba, nunda kakaza fuvu kwa miezi nane alafu ameenda kusujudu kizembe namna hii?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Mataga wengi hawaamini haya maneno yako!
 
Mataga ndio wamenuna na kufura!
Eee?

Kwamba mataga ndio walikamatwa wakatiwa ndani na Mbowe baada ya kusota rumande miezi 8 wakatolewa na kwenda kusujudu kwa mbowe?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
We

Wewe ndio wakuhurumiwa. Juzi ulimwita Mbowe gaidi leo unamlaumu kwanini ameenda kumuona Samiah aliyemuweka ndani. Unahitaji ushauri nasaha.
Sijamlaumu!

Ila nashangaa alikaza fuvu alafu kaenda kusujudu kwa mtesi wake kindezi namna ile

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Anakukamata anakusweka ndani baada ya kulalamikiwa na watu wengi anakutoa mwenyewe afu watu wajinga wajinga wanaanza kuimba, Tanzania imepata chifu msikivu mwenye huruma, na upendo, asingekuwa chifu angeozea ndani nyooolooo!!![emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji1] hii nchi ngumu saa bwashee
 
Eee?

Kwamba mataga ndio walikamatwa wakatiwa ndani na Mbowe baada ya kusota rumande miezi 8 wakatolewa na kwenda kusujudu kwa mbowe?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Ona mataga wenzako wanachosema!
 
Inauma lakini ukweli, alitakiwa akutane na sisi tuliopaza sauti kwanza.
Nahisi ameshafika bei kama mashinji au wale covid19
Sauti zenu zilisaidia nini pindi anasota sero? Aje azungumze na mioga isiyoweza kuandamana hata dakika 2, mbowe yajenge na Maza akutupie kipande Cha keki na wewe upoze machungu. Sio miaka nenda Rudi we ni kutetea mapumbavu yaliyojikatia tamaa.
 
Sasa kama ilifutwa hii nyingine iliyomfanya akae rumande miezi 8 inakuwaje ilifunguliwa na jiwe?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app

Tatizo unajifanya hujafuatilia kesi kuanzia inaanza. Swilla anadai alifungua jalada la kesi kabla watuhumiwa hawajakamatwa mwezi July 2020, baadaye watuhumiwa walikamatwa huku Mbowe akiwa mtuhumiwa mkuu.

Walishindwa kumkamata Mbowe wakitegeshea uchaguzi mkuu Ili waje wammalize vizuri akishindwa ubunge. Ndio maana Mama Samiah alisema BBC kuwa Mbowe alijua anafutwa ndio maana akakimbilia Dubai.
 
Wewe ndio unaumia, Ni juzi hapa mlikuwa mnamponda Lissu kuwa anataka kuingilia Uhuru wa mahakama kwa kamuomba Rais amtoe Mh Mbowe. Leo Tena unadai anaumia, tukueleweje wewe binadamu. Kuwa na msimamo mmoja. Na kikao Cha Lissu Ni moja ya sababu za nolle prosequi kutolewa.
Una uhakika? Lissu hakutaka Mbowe atoke mahabusu
 
Kesi ya awali ilifutwa, ndio ikafunguliwa nyingine ambayo Mh Mbowe akaunganishwa. Tatizo unaongea bila kujiridhisha.
Hiyo ya awali ilifunguliwa wapi na ilikuwa namba ngapi?
Bange za mchana mbaya sana kwa kweli!
 
Unachanganya mambo, labda kama unataka kusema CCM inakwenda kuikabidhi chadema power vinginevyo unajaribu kulinganisha vitu tofauti kabisa.

Chadema ni Chama cha Upinzani hakihitaji favor kutoka CCM kwani CCM ni Mpinzani wa chadema hivyo kwa akili ya kawaida kusema kwamba CCM ina nia nzuri na chadema ni kujidanganya .

Mbowe ameachiwa kwa masharti ambayo yeye mwenyewe kayakubali na ndio maana katolewa, na hayo masharti asipoyafwata anarudishwa ndani na kesi kuanza upya, kwa kifupi hakuna upinzani Tanzania Mbowe ameuza mechi hivyo stori zako za Mandela au sijui Kenyata hazihusiani hapa kabisa.

Wewe ndio utofautishe serikali na CCM .
CHADEMA na CCM Ni vitu viwili tofauti. Ila Serikalii kupitia DPP ndio walikuwa na maslahi na kesi, na wao ndio wameifuta Kesi. Kesi imefutwa na nolle prosequi ambayo haina masharti.

Kama nolle prosequi haina Masharti basi masharti unayo wewe. Katafute kesi ya Zitto kabwe ya uchochezi ambapo alipewa masharti ya kuachiwa huru kwamba asifanye uchochezi wa kisiasa kwa mwaka mmoja. Kafuatie kesi ya sheikh Ponda ya kwanza kabisa alipewa masharti akaachiwa nk.

Lakini niambie sharti moja alilopewa Mbowe ili kuachiwa.
 
Back
Top Bottom