CCM’s svengali hold

CCM’s svengali hold

It’s now not even debatable that CCM know how to play the game of politics better than anybody.

They have an indescribable svengali type of hold on the rest of the opposition parties that renders them [the opposition] functionally ineffective.

For the life of me, somebody explain this to me. Make it make sense;

1. Unakamatwa na kufungwa bila kosa/ makosa.

2. Unafunguliwa mashitaka ya uongo/ kizushi ambayo hayana dhamana [ili usote mahabusu].

3. Tunaambiwa eti wewe ni gaidi na ushahidi upo unaothibitisha hilo [licha ya kwamba mtu yeyote mwenye akili anajua wewe siyo gaidi].

4. Kesi inaendeshwa kwa mwendo wa konokono kwa makusudi tu ili uendelee kutaabika jela.

5. Kwa vile mashitaka ni ya uongo/ kizushi, kesi inadhihirika kuwa kituko baada ya mashahidi kuanza kutoa ushuhuda wao.

6. Baada ya miezi takriban minane [8], mwendesha mashitaka ananena kuwa hana nia ya kuendelea na kesi.

7. Sijui hiyo nia ya kutotaka kuendelea na kesi imemjia lini? Labda alioteshwa usiku 🤣.

8. Mashitaka yanatupiliwa mbali. Unaachiwa huru baada ya kusota lupango kwa muda wote huo.

9. Wamekupotezea muda kwa mambo ya kizushi. Wamekutesa. Wamekunyanyasa. Wamekuvunjia heshima. Wamekuzushia mambo ya ajabu.

10. Licha ya yote hayo ambayo ni dhahiri shahiri waliyafanya kwa makusudi tu ili unyanyasike, hutopewa fidia yoyote ile.

11. Ulichoambulia ni kualikwa ikulu kwenda kukutana na mtu aliyesababisha madhila yote hayo dhidi yako. Kwenye picha nilizoziona, sikuona bilauri za juisi kama tulivyowahi kuziona hapo zamani mlipoitwa ikulu baada ya kupigwa virungu na kumwagiwa maji ya upupu. Safari hata juisi ya Sayona hukupewa! Au ulikunywa?

12. Unatoka jela, badala ya kukutana na kuongea na watu waliosimama na wewe muda wote huo ambao uliporwa uhuru wako, wewe unaenda moja kwa moja kuonana na kucheka cheka na mtu aliyekusababishia madhila yote hayo uliyoyapitia katika hizo siku 200 na kitu.

13. Umekosea sana aisee. Yeye ndo alipaswa aje kwako kukuona. Yeye na serikali yake ndo wanapaswa kukuomba radhi kwa usumbufu waliokuletea wewe pamoja na familia yako. Wao ndo wanapaswa kukufidia vyote ulivyopoteza pindi walipokuwa wamekufunga.

14. Umeonyesha udhaifu mkubwa sana ambao CCM wataendelea kuutumia kuwapumbaza na kuwahadaa kwa siku, miaka, na miongo ijayo.

15. CCM wataendelea kuwapiga, kuwanyanyasa, kuwatendea vibaya, na mwisho wa siku watawaalikeni ikulu muende kupiga picha, kunywa juisi, na kula biskuti halafu mnasahau kabisa mabaya yote mliyotendewa. Mko wepesi mno wa kusamehe na kusahau.

Sioni kabisa CCM ikitoka madarakani kwa upinzani huu tulionao. Hata kwenye katiba mpya, kama ikija kupatikana, mtahadaiwa na kurubuniwa tu. Na mtalia weee hadi mtachoka na kunyamaza.

16. Wapinzani wa Tanzania wakiongozwa na CHADEMA, hamna kabisa uti wa mgongo.

Just a bunch of weak weasels.

Please, no research no right to speak. Wewe unaongea bila utafiti.

1. Kwanza, Mh Mbowe alipotoka gerezani jana alielekea nyumbani kwake, na kusema kwamba Jana asingeweza kuongea na waandishi wa habari bali anapanga kuonana na Viongozi wake wa CHADEMA Kwanza halafu baadae ndio ataongea na wananchi. Kuna kosa gani Hapo?. Mbowe ana leadership qualities. Amejipa muda kwanza kabla ya kuongea na umma, maana angeweza kutamka neno kwa hisia likaleta chuki na tafakuri.

2. Pili, Rais Samiah baada ya kikao Cha Jana na Mh Mbowe, alisema kwa kauli yake , kuwa yeye binafsi ndio alimuomba Mh Mbowe waonane Jana hiyo hiyo. Unadhani Ni kwanini aliamua iwe Jana na sio siku nyingine?. Rais Samiah ndio alikuwa wa kwanzan kuiambia dunia kuwa Mbowe ni Gaidi ilibidi achukue initiative kuonana naye kiutu uzima na kufanya mapatano ingali mapema.

3. Tatu, Fahamu ya kwamba Mh Mbowe kapoteza vingi Sana. Kabomolewa bilcanas, kuharibiwa shamba lake, kufungiwa gazeti lake la Tanzania daima, kufukuzwa kwenye Jengo la NHC ambalo kiasili ni Mali yao, kutajwa kwenye madawa ya kulevya na makonda, kuvamia na wasiojulikana na kusingiziwa alikuwa amelewa , kufungiwa akaunti yake na pesa zake kuchukuliwa na mwisho kuibiwa ubunge wake ambao hata museveni alithibitisha siku ya kuapishwa Magufuri.

Hivyo, wakati wengine wakikimbia Mbowe alisimama imara na Leo watesi wake wanashangaa, tumefanyia ubaya wote lakini hajalipa kisasi wala kuonesha chuki.

4. Nne Fahamu ya kwamba sio kila mtu ana roho ya kulipiza kisasi na kutaka kuonekana shujaa. Kuna watu siku wakiondoka duniani ndio watu wataujua unuhimu wao. Mmoja wapo Ni Mbowe kwamba yote aliyofanyiwa lakini hajalipiza kisasi maana hiyo siyo hulka yake.

5. Tano, hivi nikuulize Kati ya muoneaji na muonewa nani mbaya?. Yani mtu anayeonea wenzake na yule anayeonewa tunamlaumu nani?. Yani wewe unamlaumu Mbowe kwa kuonewa baadala umlaumu aliyemuonea kwa nini anaonea roho isiyo na hatia.

6. Sita, CHADEMA na Mh Mbowe hawaitaji kupambana na waoneaji au kulipiza kisasi maana Karma inafanya kazi yake. karma imelipia karibia wote waliomuonea Mbowe, kuanzia mwendazake, makonda, Sabaya, Byakanwa na Spika Ndugai. Ndio maana mama kwa kulijua Hilo akaona akutane na Mh Mbowe wayamalize.

Mwisho, hii dunia tunapita tuishi kwa upendo maana kila mtu ataiacha dunia na huko anapokwenda atawajibika kwa maonevu aliyewatendea wanadamu wenzake walioumbwa na Mungu. Tuache chuki za kisiasa hazitatufikisha popote tutambuane kama watanzania na sio kwa vyama vyetu.
 
Anakukamata anakusweka ndani baada ya kulalamikiwa na watu wengi anakutoa mwenyewe afu watu wajinga wajinga wanaanza kuimba, Tanzania imepata chifu msikivu mwenye huruma, na upendo, asingekuwa chifu angeozea ndani nyooolooo!!!😏😏😏😏😏😏😏

Unamlaumu nani?. Aliyemfutia mashtaka au aliyefutiwa mashtaka. Sio kila mtu ana roho mbaya, wengine wana roho ya kujishusha ndio maana Tanzania Ina amani mpaka leo. Maana Kuna Maisha baada ya hapa duniani. Halafu usipenda kumuita mtu mjinga kiss yupo tofauti na hisia zako.
 
Hata kama inaenda mrama, wapinzani are not capitalizing on it!

Very disappointing.

Capitalizing on what?. They are advocating on constitutional reforms.

Matatizo yote wanayopitia wapinzani huku mkiwacheka na bado mnataka wafanyeje. Kulimwa risasi, kuibiwa kura, kunyanganywa haki ya viti maalum na machukizo yote Kama kubambikiwa kesi, bado uanawalaumu. Bunge wamejiweka CCM pekee yao, halmashauri Ni CCM pekee na vijiji asilimi 97 ni wao ulitaka wapinzani wafanyeje. Waanzishe coup de tat?.
 
Inauma lakini ukweli, alitakiwa akutane na sisi tuliopaza sauti kwanza.
Nahisi ameshafika bei kama mashinji au wale covid19

Wewe CCM unahitaji kuonana na Mh Mbowe kwa lipi? Tatizo mnaonge ya kwenu. Jana Mh Mbowe kasema kwanza anakutana na Viongozi wa CHADEMA na baadae ndio ataongea na wananchi wote. Na aliquote mstari wa Biblia kuonesha kwa Sasa ameamua kukaa kimya.
 
It’s now not even debatable that CCM know how to play the game of politics better than anybody.

They have an indescribable svengali type of hold on the rest of the opposition parties that renders them [the opposition] functionally ineffective.

For the life of me, somebody explain it to me. Make it make sense;

1. Unakamatwa na kufungwa bila kosa/ makosa.

2. Unafunguliwa mashitaka ya uongo/ kizushi ambayo hayana dhamana [ili usote mahabusu].

3. Tunaambiwa eti wewe ni gaidi na ushahidi upo unaothibitisha hilo [licha ya kwamba mtu yeyote mwenye akili anajua wewe siyo gaidi].

4. Kesi inaendeshwa kwa mwendo wa konokono kwa makusudi tu ili uendelee kutaabika jela.

5. Kwa vile mashitaka ni ya uongo/ kizushi, kesi inadhihirika kuwa kituko baada ya mashahidi kuanza kutoa ushuhuda wao.

6. Baada ya miezi takriban minane [8], mwendesha mashitaka ananena kuwa hana nia ya kuendelea na kesi.

7. Sijui hiyo nia ya kutotaka kuendelea na kesi imemjia lini? Labda alioteshwa usiku [emoji1787].

8. Mashitaka yanatupiliwa mbali. Unaachiwa huru baada ya kusota lupango kwa muda wote huo.

9. Wamekupotezea muda kwa mambo ya kizushi. Wamekutesa. Wamekunyanyasa. Wamekuvunjia heshima. Wamekuzushia mambo ya ajabu.

10. Licha ya yote hayo ambayo ni dhahiri shahiri waliyafanya kwa makusudi tu ili unyanyasike, hutopewa fidia yoyote ile.

11. Ulichoambulia ni kualikwa ikulu kwenda kukutana na mtu aliyesababisha madhila yote hayo dhidi yako. Kwenye picha nilizoziona, sikuona bilauri za juisi kama tulivyowahi kuziona hapo zamani mlipoitwa ikulu baada ya kupigwa virungu na kumwagiwa maji ya upupu. Safari hata juisi ya Sayona hukupewa! Au ulikunywa?

12. Unatoka jela, badala ya kukutana na kuongea na watu waliosimama na wewe muda wote huo ambao uliporwa uhuru wako, wewe unaenda moja kwa moja kuonana na kucheka cheka na mtu aliyekusababishia madhila yote hayo uliyoyapitia katika hizo siku 200 na kitu.

13. Umekosea sana aisee. Yeye ndo alipaswa aje kwako kukuona. Yeye na serikali yake ndo wanapaswa kukuomba radhi kwa usumbufu waliokuletea wewe pamoja na familia yako. Wao ndo wanapaswa kukufidia vyote ulivyopoteza pindi walipokuwa wamekufunga.

14. Umeonyesha udhaifu mkubwa sana ambao CCM wataendelea kuutumia kuwapumbaza na kuwahadaa kwa siku, miaka, na miongo ijayo.

15. CCM wataendelea kuwapiga, kuwanyanyasa, kuwatendea vibaya, na mwisho wa siku watawaalikeni ikulu muende kupiga picha, kunywa juisi, na kula biskuti halafu mnasahau kabisa mabaya yote mliyotendewa. Mko wepesi mno wa kusamehe na kusahau.

Sioni kabisa CCM ikitoka madarakani kwa upinzani huu tulionao. Hata kwenye katiba mpya, kama ikija kupatikana, mtahadaiwa na kurubuniwa tu. Na mtalia weee hadi mtachoka na kunyamaza.

16. Wapinzani wa Tanzania wakiongozwa na CHADEMA, hamna kabisa uti wa mgongo.

Just a bunch of weak weasels.
I'm shocked that you didn't know all of these before.
 
Mbowe sasa hana tofauti na Husna aliyetolewa jela usiku akapewa ubunge akasahau waliomtetea

Waliomtetea Mbowe wanafuraha Sana maana maombi yao yamejibiwa. Wewe mwenye chuki ndio kwanza shetani anakutumia. Mbowe kasema anaandaa siku maalum ya kuongea na wananchi. Na hi sio kesi ya kwanza ya Mbowe labda uwe mgeni.
 
Umeanalyse too brief but very brilliant arguments bro [emoji41] you never let me down as always and usual. Hakuna nyumbu alie too critical atakae eza kustand against those points narrated above, period.

Ulipoita wenzako nyumbu nikajua hata unachosema siyo ukweli. Wewe endelea kuita watanzania wenzako nyumbu ili uonekane wa maana. Unaweza kurefer wenzako kwa Lugha ya staha hi dunia tunapita kwanini ujenge chuki kwa watanzania wenzako mpaka uwaone hawana hadhi ya kuwa binadamu na kuwaita nyumbu. mbele za Mungu unalo la kujibu hata ungejificha wapi ukiingia kaburini.
 
It’s now not even debatable that CCM know how to play the game of politics better than anybody.

They have an indescribable svengali type of hold on the rest of the opposition parties that renders them [the opposition] functionally ineffective.

For the life of me, somebody explain it to me. Make it make sense;

1. Unakamatwa na kufungwa bila kosa/ makosa.

2. Unafunguliwa mashitaka ya uongo/ kizushi ambayo hayana dhamana [ili usote mahabusu].

3. Tunaambiwa eti wewe ni gaidi na ushahidi upo unaothibitisha hilo [licha ya kwamba mtu yeyote mwenye akili anajua wewe siyo gaidi].

4. Kesi inaendeshwa kwa mwendo wa konokono kwa makusudi tu ili uendelee kutaabika jela.

5. Kwa vile mashitaka ni ya uongo/ kizushi, kesi inadhihirika kuwa kituko baada ya mashahidi kuanza kutoa ushuhuda wao.

6. Baada ya miezi takriban minane [8], mwendesha mashitaka ananena kuwa hana nia ya kuendelea na kesi.

7. Sijui hiyo nia ya kutotaka kuendelea na kesi imemjia lini? Labda alioteshwa usiku [emoji1787].

8. Mashitaka yanatupiliwa mbali. Unaachiwa huru baada ya kusota lupango kwa muda wote huo.

9. Wamekupotezea muda kwa mambo ya kizushi. Wamekutesa. Wamekunyanyasa. Wamekuvunjia heshima. Wamekuzushia mambo ya ajabu.

10. Licha ya yote hayo ambayo ni dhahiri shahiri waliyafanya kwa makusudi tu ili unyanyasike, hutopewa fidia yoyote ile.

11. Ulichoambulia ni kualikwa ikulu kwenda kukutana na mtu aliyesababisha madhila yote hayo dhidi yako. Kwenye picha nilizoziona, sikuona bilauri za juisi kama tulivyowahi kuziona hapo zamani mlipoitwa ikulu baada ya kupigwa virungu na kumwagiwa maji ya upupu. Safari hata juisi ya Sayona hukupewa! Au ulikunywa?

12. Unatoka jela, badala ya kukutana na kuongea na watu waliosimama na wewe muda wote huo ambao uliporwa uhuru wako, wewe unaenda moja kwa moja kuonana na kucheka cheka na mtu aliyekusababishia madhila yote hayo uliyoyapitia katika hizo siku 200 na kitu.

13. Umekosea sana aisee. Yeye ndo alipaswa aje kwako kukuona. Yeye na serikali yake ndo wanapaswa kukuomba radhi kwa usumbufu waliokuletea wewe pamoja na familia yako. Wao ndo wanapaswa kukufidia vyote ulivyopoteza pindi walipokuwa wamekufunga.

14. Umeonyesha udhaifu mkubwa sana ambao CCM wataendelea kuutumia kuwapumbaza na kuwahadaa kwa siku, miaka, na miongo ijayo.

15. CCM wataendelea kuwapiga, kuwanyanyasa, kuwatendea vibaya, na mwisho wa siku watawaalikeni ikulu muende kupiga picha, kunywa juisi, na kula biskuti halafu mnasahau kabisa mabaya yote mliyotendewa. Mko wepesi mno wa kusamehe na kusahau.

Sioni kabisa CCM ikitoka madarakani kwa upinzani huu tulionao. Hata kwenye katiba mpya, kama ikija kupatikana, mtahadaiwa na kurubuniwa tu. Na mtalia weee hadi mtachoka na kunyamaza.

16. Wapinzani wa Tanzania wakiongozwa na CHADEMA, hamna kabisa uti wa mgongo.

Just a bunch of weak weasels.
PROVERBS: 8:11 I am Wisdom, I am better than jewels. Mbowe amatumia wisdom kubwa kuonana na watesi wake. Badala ya Mbowe kuteseka, wao sasa ndio watateseka. Busara hii pia ilitumiwa na Mandela, alipotoka jela miaka 27 aliendelea kucheka na waliomtesa, badala yake waliomtesa waliteseka wao. Busara ya aina hii huonekana kwa watu wachache sana akina Mbowe na Mandela, mtu Kama wewe huwezi kuona busara hiyo."WISDOM IS BETTER THAN JEWELS (Prov. 8:11).
 
Yaani anatengeza tatizo kisha ana litatua halafu wajinga wana imba mapambio,nyoooolooo zao tena na tena na tena,ume nikumbusha mbali sana hiyo nyoloooooo.

Naona mmeumia Sana nafsi zenu hata usiku hunalala. Nyie ndio juzi mlikuwa mnamuita Mbowe gaidi, leo tena mnatukana waliomuachia Mbowe na wanaoshehereka pamja naye. Halafu tofautisha Furaha ya mbowe kutoka na ujinga mnaosema.
 
Yaani anatengeza tatizo kisha ana litatua halafu wajinga wana imba mapambio,nyoooolooo zao tena na tena na tena,ume nikumbusha mbali sana hiyo nyoloooooo.

Tafuta historia ya hi kesi ilianza kipindi Cha mwendazake. Mbowe alipachikwa katikati wakati Rais Samiah ananingia madarakani.
 
Capitalizing on what?. They are advocating on constitutional reforms.

Matatizo yote wanayopitia wapinzani huku mkiwacheka na bado mnataka wafanyeje. Kulimwa risasi, kuibiwa kura, kunyanganywa haki ya viti maalum na machukizo yote Kama kubambikiwa kesi, bado uanawalaumu. Bunge wamejiweka CCM pekee yao, halmashauri Ni CCM pekee na vijiji asilimi 97 ni wao ulitaka wapinzani wafanyeje. Waanzishe coup de tat?.
This guy ni simply sadist, He celebrated when Lissu was shot, since then namuangalia kwa jicho la kupuuza, ana unafiki mwingi sana
 
Sio
Hakukuwa na haja ya kumkamata Mbowe, period!

Si 2020, si 2021.

Yeye kakamatwa 2021. Kakamatwa Samia akiwa Rais.

The buck stops with her. Period, end of sentence.

Sio Samia aliyemkamata, Ni mpango ulikuwepo kuanzia zamani, sema utekelezwaji wake ulikuwa kipindi Cha mama Samia na briefing alipewa mama Samiah maana mwendazake aliondoka ghafla.
 
Una hakika alikwenda mwenyewe au alipelekwa na watesi wake?

Swali zuri sana. Kwa suti ile oversize aliyovaa huenda alitolewa jela moja kwa moja hadi Ikulu na kukabidhiwa suti ile avae akaonane na rais.
Sasa angefanyaje? Angejirusha kutoka garini aende kuonana kwanza na akina Kibatala?
Saa nyingine mnapaswa kuwa realistic kabla ya kukimbilia kushusha maneno.
 
Mbaya zaidi wanamlaumu Magufuli, kwamba Mbowe alifungwa na Magufuli, kwa maoni yangu huyu Raisi anawadharau sana hata tu ukiangalia body language yake, anawaona ni inferior being hamna namna unaweza kulielezea hili, mtu kakupa kesi, kakuweka ndani karibia mwaka anakuachia halafu unaanza kumsifu, really ??

Nani anmsifu Hangaya, please Kama hujui kitu uliza. Hii kesi mwanzo wake ulikuwa kipindi cha Magufuri, kamsikilize Hangaya vizuri. Alisema wenzake na Mbowe walikamatwa lakini Mbowe akakimbia nje ya nchi. Sasa fuatilia wale makomandoo walikamatwa kipindi Cha Nani akiwa Rais.
 
16. Wapinzani wa Tanzania wakiongozwa na CHADEMA, hamna kabisa uti wa mgongo.

Just a bunch of weak weasels.
CCM na "Wapinzani" ni pande mbili za shilingi ileile. Ukiamini vinginevyo usilaumu mtu.
Huwa nawadeku tu wafia "siasa" wakitukanana humu na pengine kujengeana uadui.
They have nada clue as to what politics, especially dirty African politics are!
 
Hilo ndilo lilikuwa sharti la kuachiwa, kuanzia sasa hivi Mbowe ni mapambio tu.

Sharti la kwako au la kwenye nolle prosequi? Kwenye nolle prosequi hakuna Cha masharti acha kudanganya. Rais kamtambulisha Mbowe Kama Mheshimiwa na kusema yeye ndio kamuomba wafanyeje kikao siku hiyo hiyo.
 
Mke wa Mbowe atakuwa Na Kazi Sana usiku wa leo
 
A
Actually, SSH is smart politician, Mbowe got twisted. Headings zimebadilika. I dont think its kowtowing but mind games

A smart politician on which terms. By releasing Mbowe after public outcry?. It is the pressure that led her to invoke the release. If she was smart she could have let the case to proceed and influence the conviction of Mbowe.

Hapa Mbowe na Chadema ndio washindi maana Lissu anarudi nchini na mbowe ndio ametoka Rumande, hapatatosha.
 
Back
Top Bottom