CCM’s svengali hold

CCM’s svengali hold

Kwa kuwa wewe si mwanasiasa unapaswa kusamehewa kwa ulichokiandika. Tuna references nyingi sana za matukio kama hayo duniani, lakini hazikuwamaliza watu kisiasa bali ziliwapaisha
  1. NELSON MANDELA: Hakuna binadamu aliekaa jela kwa wakati mrefu kwa kesi ya mchongo ya uhaini kama yeye lakini hakuomba msamaha kwa watesi wake ili wamwachie ingawa walitamani sana afanye hivyo, alipotoka Gerezani hakuwasusa maadui zake kisiasa waliomfunga na kumtesa kwa miaka 27 alikaa nao wakazungumuza kichozaliwa ndio hiyo afrika kusini ya sasa.
  2. JOMO KENYATTA: Alifungwa kwa kesi ya uhaini ya kuchonga na kukaa gerezani kapengurya,alipotoka alikaa chini na watawala wakajadiriana ndio hiyo kenya unayoiona leo.
Hiyo ni mifano miwili iliyotokea hapa jirani kwetu, mazungumuzo,majadiriano,na watawala ndio njia pekee inayoweza kumfikisha mbowe na CHADEMA kwenye malengo yao.

Njia anayopaswa kuipita mbowe ni ile waliyopita kina Nelson Mandela mashujaa wa afrika,Kwa hiyo akisusa atakuwa anamkomoa nani?

Kamwe Mbowe hataingia kwenye njia za kihaini na kigaidi ili kupigania haki za watanzania, na njia halali ndio hiyo ya kuzungumuza.
Lakini kwenu vijana poleni sana maana ujana ni maji ya moto.
Pia HAKAINDE HICHILEMA rais wa sasa wa Zambia
 
Wasukuma bana mlichelewa wapi? Sasa Raisi akikuomba ukitoka gerezani pita ikulu nikukombe msamaha uende zako kuna shida gani?

Juzi mlimlaumu lisu kwa kutoitikia wito wa kuongea na Raisi, mkasema ana kiburi, na anapoteza fursa,

Leo Raisi kajishusha kamwita wakutane kwenye ofisi za umma Ili kumwomba mbowe msamaha mnambagaza mbowe kweli?

We ulitaka Raisi amfuate mbowe mikocheni? Hata kama logistic haziruhusu

Kwamba Madam President Samia kamuomba Chairman Mbowe msamaha?

Wewe!!
 
It’s now not even debatable that CCM know how to play the game of politics better than anybody.

They have an indescribable svengali type of hold on the rest of the opposition parties that renders them [the opposition] functionally ineffective.

For the life of me, somebody explain this to me. Make it make sense;

1. Unakamatwa na kufungwa bila kosa/ makosa.

2. Unafunguliwa mashitaka ya uongo/ kizushi ambayo hayana dhamana [ili usote mahabusu].

3. Tunaambiwa eti wewe ni gaidi na ushahidi upo unaothibitisha hilo [licha ya kwamba mtu yeyote mwenye akili anajua wewe siyo gaidi].

4. Kesi inaendeshwa kwa mwendo wa konokono kwa makusudi tu ili uendelee kutaabika jela.

5. Kwa vile mashitaka ni ya uongo/ kizushi, kesi inadhihirika kuwa kituko baada ya mashahidi kuanza kutoa ushuhuda wao.

6. Baada ya miezi takriban minane [8], mwendesha mashitaka ananena kuwa hana nia ya kuendelea na kesi.

7. Sijui hiyo nia ya kutotaka kuendelea na kesi imemjia lini? Labda alioteshwa usiku 🤣.

8. Mashitaka yanatupiliwa mbali. Unaachiwa huru baada ya kusota lupango kwa muda wote huo.

9. Wamekupotezea muda kwa mambo ya kizushi. Wamekutesa. Wamekunyanyasa. Wamekuvunjia heshima. Wamekuzushia mambo ya ajabu.

10. Licha ya yote hayo ambayo ni dhahiri shahiri waliyafanya kwa makusudi tu ili unyanyasike, hutopewa fidia yoyote ile.

11. Ulichoambulia ni kualikwa ikulu kwenda kukutana na mtu aliyesababisha madhila yote hayo dhidi yako. Kwenye picha nilizoziona, sikuona bilauri za juisi kama tulivyowahi kuziona hapo zamani mlipoitwa ikulu baada ya kupigwa virungu na kumwagiwa maji ya upupu. Safari hata juisi ya Sayona hukupewa! Au ulikunywa?

12. Unatoka jela, badala ya kukutana na kuongea na watu waliosimama na wewe muda wote huo ambao uliporwa uhuru wako, wewe unaenda moja kwa moja kuonana na kucheka cheka na mtu aliyekusababishia madhila yote hayo uliyoyapitia katika hizo siku 200 na kitu.

13. Umekosea sana aisee. Yeye ndo alipaswa aje kwako kukuona. Yeye na serikali yake ndo wanapaswa kukuomba radhi kwa usumbufu waliokuletea wewe pamoja na familia yako. Wao ndo wanapaswa kukufidia vyote ulivyopoteza pindi walipokuwa wamekufunga.

14. Umeonyesha udhaifu mkubwa sana ambao CCM wataendelea kuutumia kuwapumbaza na kuwahadaa kwa siku, miaka, na miongo ijayo.

15. CCM wataendelea kuwapiga, kuwanyanyasa, kuwatendea vibaya, na mwisho wa siku watawaalikeni ikulu muende kupiga picha, kunywa juisi, na kula biskuti halafu mnasahau kabisa mabaya yote mliyotendewa. Mko wepesi mno wa kusamehe na kusahau.

Sioni kabisa CCM ikitoka madarakani kwa upinzani huu tulionao. Hata kwenye katiba mpya, kama ikija kupatikana, mtahadaiwa na kurubuniwa tu. Na mtalia weee hadi mtachoka na kunyamaza.

16. Wapinzani wa Tanzania wakiongozwa na CHADEMA, hamna kabisa uti wa mgongo.

Just a bunch of weak weasels.
Shida si wapinzani bali Tanzania ni CCM na CCM ni Tanzania....

CCM ni imani....
CCM ni mzimu wa taifa letu pendwa....

Mzimu hauong'olewi hataaa....

#Siempre CCM🙏
#Naipenda Kijani😍
 
Kwamba Madam President Samia kamuomba Chairman Mbowe msamaha?

Wewe!!
Ndio kwani ajabu kitu gani,?

Pamoja na uhuni wa Udhalimu wa CCM bado kuna watu waungwana kama SSH

unaweza kumweka mahabusu miezi 8 alafu atoke hivi hivi bila kuombwa msamaha?

Au ulitaka uone msamaha hadharani ?
Je? uliwahi shuhudia msamaha wa baba Yako na mama Yako hadharani
 
Kwa kuwa wewe si mwanasiasa unapaswa kusamehewa kwa ulichokiandika. Tuna references nyingi sana za matukio kama hayo duniani, lakini hazikuwamaliza watu kisiasa bali ziliwapaisha
  1. NELSON MANDELA: Hakuna binadamu aliekaa jela kwa wakati mrefu kwa kesi ya mchongo ya uhaini kama yeye lakini hakuomba msamaha kwa watesi wake ili wamwachie ingawa walitamani sana afanye hivyo, alipotoka Gerezani hakuwasusa maadui zake kisiasa waliomfunga na kumtesa kwa miaka 27 alikaa nao wakazungumuza kichozaliwa ndio hiyo afrika kusini ya sasa.
  2. JOMO KENYATTA: Alifungwa kwa kesi ya uhaini ya kuchonga na kukaa gerezani kapengurya,alipotoka alikaa chini na watawala wakajadiriana ndio hiyo kenya unayoiona leo.
Hiyo ni mifano miwili iliyotokea hapa jirani kwetu, mazungumuzo,majadiriano,na watawala ndio njia pekee inayoweza kumfikisha mbowe na CHADEMA kwenye malengo yao.

Njia anayopaswa kuipita mbowe ni ile waliyopita kina Nelson Mandela mashujaa wa afrika,Kwa hiyo akisusa atakuwa anamkomoa nani?

Kamwe Mbowe hataingia kwenye njia za kihaini na kigaidi ili kupigania haki za watanzania, na njia halali ndio hiyo ya kuzungumuza.
Lakini kwenu vijana poleni sana maana ujana ni maji ya moto.

Unachanganya mambo, labda kama unataka kusema CCM inakwenda kuikabidhi chadema power vinginevyo unajaribu kulinganisha vitu tofauti kabisa.

Chadema ni Chama cha Upinzani hakihitaji favor kutoka CCM kwani CCM ni Mpinzani wa chadema hivyo kwa akili ya kawaida kusema kwamba CCM ina nia nzuri na chadema ni kujidanganya .

Mbowe ameachiwa kwa masharti ambayo yeye mwenyewe kayakubali na ndio maana katolewa, na hayo masharti asipoyafwata anarudishwa ndani na kesi kuanza upya, kwa kifupi hakuna upinzani Tanzania Mbowe ameuza mechi hivyo stori zako za Mandela au sijui Kenyata hazihusiani hapa kabisa.
 
It’s now not even debatable that CCM know how to play the game of politics better than anybody.

They have an indescribable svengali type of hold on the rest of the opposition parties that renders them [the opposition] functionally ineffective.

For the life of me, somebody explain this to me. Make it make sense;

1. Unakamatwa na kufungwa bila kosa/ makosa.

2. Unafunguliwa mashitaka ya uongo/ kizushi ambayo hayana dhamana [ili usote mahabusu].

3. Tunaambiwa eti wewe ni gaidi na ushahidi upo unaothibitisha hilo [licha ya kwamba mtu yeyote mwenye akili anajua wewe siyo gaidi].

4. Kesi inaendeshwa kwa mwendo wa konokono kwa makusudi tu ili uendelee kutaabika jela.

5. Kwa vile mashitaka ni ya uongo/ kizushi, kesi inadhihirika kuwa kituko baada ya mashahidi kuanza kutoa ushuhuda wao.

6. Baada ya miezi takriban minane [8], mwendesha mashitaka ananena kuwa hana nia ya kuendelea na kesi.

7. Sijui hiyo nia ya kutotaka kuendelea na kesi imemjia lini? Labda alioteshwa usiku [emoji1787].

8. Mashitaka yanatupiliwa mbali. Unaachiwa huru baada ya kusota lupango kwa muda wote huo.

9. Wamekupotezea muda kwa mambo ya kizushi. Wamekutesa. Wamekunyanyasa. Wamekuvunjia heshima. Wamekuzushia mambo ya ajabu.

10. Licha ya yote hayo ambayo ni dhahiri shahiri waliyafanya kwa makusudi tu ili unyanyasike, hutopewa fidia yoyote ile.

11. Ulichoambulia ni kualikwa ikulu kwenda kukutana na mtu aliyesababisha madhila yote hayo dhidi yako. Kwenye picha nilizoziona, sikuona bilauri za juisi kama tulivyowahi kuziona hapo zamani mlipoitwa ikulu baada ya kupigwa virungu na kumwagiwa maji ya upupu. Safari hata juisi ya Sayona hukupewa! Au ulikunywa?

12. Unatoka jela, badala ya kukutana na kuongea na watu waliosimama na wewe muda wote huo ambao uliporwa uhuru wako, wewe unaenda moja kwa moja kuonana na kucheka cheka na mtu aliyekusababishia madhila yote hayo uliyoyapitia katika hizo siku 200 na kitu.

13. Umekosea sana aisee. Yeye ndo alipaswa aje kwako kukuona. Yeye na serikali yake ndo wanapaswa kukuomba radhi kwa usumbufu waliokuletea wewe pamoja na familia yako. Wao ndo wanapaswa kukufidia vyote ulivyopoteza pindi walipokuwa wamekufunga.

14. Umeonyesha udhaifu mkubwa sana ambao CCM wataendelea kuutumia kuwapumbaza na kuwahadaa kwa siku, miaka, na miongo ijayo.

15. CCM wataendelea kuwapiga, kuwanyanyasa, kuwatendea vibaya, na mwisho wa siku watawaalikeni ikulu muende kupiga picha, kunywa juisi, na kula biskuti halafu mnasahau kabisa mabaya yote mliyotendewa. Mko wepesi mno wa kusamehe na kusahau.

Sioni kabisa CCM ikitoka madarakani kwa upinzani huu tulionao. Hata kwenye katiba mpya, kama ikija kupatikana, mtahadaiwa na kurubuniwa tu. Na mtalia weee hadi mtachoka na kunyamaza.

16. Wapinzani wa Tanzania wakiongozwa na CHADEMA, hamna kabisa uti wa mgongo.

Just a bunch of weak weasels.
Muhimu ni kwamba watu wanaelewa. Na Mbowe ni kama ame shake hands... na kutaka waanze ukurasa mpya kama mandela alivyofanya. Ni fundisho pia japo hoja yako ina mantiki.
Waliomshtaki wamekaa kando wakati wakiona mbowe yuko ikulu na hawezi kufanya lolote
 
Hata kama inaenda mrama, wapinzani are not capitalizing on it!

Very disappointing.

Mandela alifungwa miaka 27 na Makaburu! Alipotoka hakuchagua kulipa kisasi. Badala yake alichagua maridhiano ili nchi ya Afrika Kusini isonge mbele. Na leo tunaiona Afrika Kusini ilipo.

Hivyo mimi naungana na Mh. Mbowe na Rais Mama Samia. Ifikie wakati siasa isiwe ni uadui na chuki kati yetu.

Watanzania tulio wengi tunahitaji maendeleo ya kiuchumi, kijamii na kisiasa! Na siyo malumbano na mivutano isiyoisha kati ya ccm na chadema.
 
Tanzania hakuna upinzani...bali kuna mfano wa upinzani
 
Mandela alifungwa miaka 27 na Makaburu! Alipotoka hakuchagua kulipa kisasi. Badala yake alichagua maridhiano ili nchi ya Afrika Kusini isonge mbele. Na leo tunaiona Afrika Kusini ilipo.

Hivyo mimi naungana na Mh. Mbowe na Raus Mama Samia. Ifikie wakati siasa isiwe ni uadui na chuki kati yetu.

Watanzania tulio wengi tunahitaji maendeleo ya kiuchumi, kijamii na kisiasa! Na siyo malumbano na mivutano isiyoisha kati ya ccm na chadema.
Mgosi kuna wakati ukishiba pears unaongea ukweli na akili inarudi utafikiri sio msambaa.
Leo ni siku mojawapo ya siku akili yako inafanya kazi.
Usiende kwenye mnazi.
 
Nyani Ngabu kuna kitu kinamkereketa sana, nacho ni chuki ya wivu wa kisiasa kwamba mbele ya watu anaonyesha kukerwa na watawala lakini kimoyo moyo anataka watawala wawagandamize na kuwanyanyasa kwa mateso makali sana wapinzani. Nyani Ngabu anatamani utawala huu ungeendeleza mateso aliyoyafanya dikteta Magufuli kwa wapinzani na pia angependa kutokomeza kabisa siasa za upinzani.

Nyani Ngabu anapaswa kukumbuka kuwa Mbowe tangu enzi za Magufuli alitaka kukutana na watawala ili kuliponya Taifa kwa maridhiano na si kwa vita! Hivyo Mbowe kukutana na Samia ni jambo ambalo wengi walilitaka na kusubiriwa kwa muda mrefu. Mbowe kukutana na Samia si unyonge bali ni kuleta umoja wa kitaifa na kuondoa sintofahamu miongoni mwa raia na hasa vyombo vya dola ambavyo kunyanyasa wapinzani imekuwa kama ndiyo sera yao.

Katika siasa njia pekee inayotakiwa kuifuata ili kudumisha amani na haki ni mazungumzo, sasa sijuwi wewe Nyani Ngabu ulitaka Mbowe afanye nini? Samia ni Rais kuna protokali ambazo lazima zizingatiwe na hasa anapofanya mazungumzo ya kisiasa hivyo hawezi kwenda kwa Mbowe na Ikulu ni ofisi ya umma ni mahali sahihi ya kufanya vikao vya kitaifa. Katika kikao na Samia, Mbowe halazimiki kukubaliana na kila hoja ya Samia lakini wote wanapaswa kifikia muafaka kwa maslahi ya Taifa.
 
Hangaya ni hodari sana wa contradictions!

Hii kesi ilifunguliwa tangu July, 2020! Je, kipindi hicho Hangaya alikuwa Rais? Je, Hangaya ndiye aliye watuma akina Kingai, Sabaya, J4, Goodluck, na Swilla kuendesha kikundi cha watu wasio julikana?

Usihamishe magoli mheshimiwa. Hii kesi ilifunguliwa wakati wa yule kipenzi wako magufuli. Na ndiyo muasisi wa huu utaratibu wa kutengeneza matukio, na mwisho anakuja kuyatatua ili kujiongezea ujiko.

Tuliona wakati wa kikotoo kwa wafanyakazi, wakati alipo watumbua kwa fedheha wateule wake yeye mwenyewe, nk. Lakini pia ni magufuli huyo huyo ndiye muasisi wa huu mgawanyiko mkubwa kwa watanzania, baada ya kuendekeza ubaguzi, ukatili, uonevu, dhuluma, kuwakumbatia matapeli kama akina Sabaya, nk.

Sasa anapotokea Mtawala mwingine, akachagua njia tofauti na mtangulizi wake, nadhani ni wakati wetu wapenda maridhiano kumtia moyo.
 
Kesi ilifunguliwa July 2020 na Mbowe akakamatwa July 2021???

Only in Tanzania where you’ll find this kind of fuckery 🤣🤣🤣🤣🤣
 
It’s now not even debatable that CCM know how to play the game of politics better than anybody.

They have an indescribable svengali type of hold on the rest of the opposition parties that renders them [the opposition] functionally ineffective.

For the life of me, somebody explain this to me. Make it make sense;

1. Unakamatwa na kufungwa bila kosa/ makosa.

2. Unafunguliwa mashitaka ya uongo/ kizushi ambayo hayana dhamana [ili usote mahabusu].

3. Tunaambiwa eti wewe ni gaidi na ushahidi upo unaothibitisha hilo [licha ya kwamba mtu yeyote mwenye akili anajua wewe siyo gaidi].

4. Kesi inaendeshwa kwa mwendo wa konokono kwa makusudi tu ili uendelee kutaabika jela.

5. Kwa vile mashitaka ni ya uongo/ kizushi, kesi inadhihirika kuwa kituko baada ya mashahidi kuanza kutoa ushuhuda wao.

6. Baada ya miezi takriban minane [8], mwendesha mashitaka ananena kuwa hana nia ya kuendelea na kesi.

7. Sijui hiyo nia ya kutotaka kuendelea na kesi imemjia lini? Labda alioteshwa usiku [emoji1787].

8. Mashitaka yanatupiliwa mbali. Unaachiwa huru baada ya kusota lupango kwa muda wote huo.

9. Wamekupotezea muda kwa mambo ya kizushi. Wamekutesa. Wamekunyanyasa. Wamekuvunjia heshima. Wamekuzushia mambo ya ajabu.

10. Licha ya yote hayo ambayo ni dhahiri shahiri waliyafanya kwa makusudi tu ili unyanyasike, hutopewa fidia yoyote ile.

11. Ulichoambulia ni kualikwa ikulu kwenda kukutana na mtu aliyesababisha madhila yote hayo dhidi yako. Kwenye picha nilizoziona, sikuona bilauri za juisi kama tulivyowahi kuziona hapo zamani mlipoitwa ikulu baada ya kupigwa virungu na kumwagiwa maji ya upupu. Safari hata juisi ya Sayona hukupewa! Au ulikunywa?

12. Unatoka jela, badala ya kukutana na kuongea na watu waliosimama na wewe muda wote huo ambao uliporwa uhuru wako, wewe unaenda moja kwa moja kuonana na kucheka cheka na mtu aliyekusababishia madhila yote hayo uliyoyapitia katika hizo siku 200 na kitu.

13. Umekosea sana aisee. Yeye ndo alipaswa aje kwako kukuona. Yeye na serikali yake ndo wanapaswa kukuomba radhi kwa usumbufu waliokuletea wewe pamoja na familia yako. Wao ndo wanapaswa kukufidia vyote ulivyopoteza pindi walipokuwa wamekufunga.

14. Umeonyesha udhaifu mkubwa sana ambao CCM wataendelea kuutumia kuwapumbaza na kuwahadaa kwa siku, miaka, na miongo ijayo.

15. CCM wataendelea kuwapiga, kuwanyanyasa, kuwatendea vibaya, na mwisho wa siku watawaalikeni ikulu muende kupiga picha, kunywa juisi, na kula biskuti halafu mnasahau kabisa mabaya yote mliyotendewa. Mko wepesi mno wa kusamehe na kusahau.

Sioni kabisa CCM ikitoka madarakani kwa upinzani huu tulionao. Hata kwenye katiba mpya, kama ikija kupatikana, mtahadaiwa na kurubuniwa tu. Na mtalia weee hadi mtachoka na kunyamaza.

16. Wapinzani wa Tanzania wakiongozwa na CHADEMA, hamna kabisa uti wa mgongo.

Just a bunch of weak weasels.

Ni rahisi sana kuona unayoona kutoka nje! Hata watazamaji hudhani ili kufunga goli, striker “angefanya” hivi ama vile!!

Uliyosema ni sahihi lakini si wewe umeumizwa binafsi kuliko Mbowe na wenzake. Si wewe una mamlaka waliyokuwa nayo Polisi, Majaji waliotoa hukumu na kisha kujiondoa kwenye kesi, si wewe uliamua kufutwa kwa mashitaka na mambo gani yafanyike!!

Nikukumbushe amri ya Jaji - “watuhumiwe waachiee huru leo hii bila kukosa”. Mbowe alipewa utaratibu wa kufanya - he did not choose to go to the state house!!! Sijui kama unashauri kuwa angekataa kwenda huko ili kuonesha strength! Which strength hasa - kusema ameonewa na anataka kwenda nyumbani tu?? Nilidhani unamlaumu kwa kufanya makubaliano fulani ambayo yangekuwa kinzani na dhana ya upinzani.

Learned brother, if your blame line is this - hata angekataa kwenda ungemlaumu pia kwa kutofikiria vizuri uamuzi wake!!

Moja ya madhila makubwa watu wa upinzani wamepata (hata kutoka ndani ya CCM) ni kupuuza au kudogosha powers za walio na mamlaka!! Mamlaka ya Rais ni kubwa sana na Mbowe kukaidi ingekuwa ni kwa maumivu binafsi kwanza kabla ya upinzani.

Pay a price for Cheyo, Mrema and Dovutwa? Why??
 
Shida si wapinzani bali Tanzania ni CCM na CCM ni Tanzania....

CCM ni imani....
CCM ni mzimu wa taifa letu pendwa....

Mzimu hauong'olewi hataaa....

#Siempre CCM🙏
#Naipenda Kijani😍

Sema unautetea Uislamu tu, hayo mengine yoote mbwembwe tu!
 
Unaanzisha uzi huku ukiwa mweupe kichwani! Makomandoo walikamatwa mwaka gani? Na hicho kikundi cha watu wasiojulikana kiliasisiwa na nani? Msihamishe magoli. Kama huyu mama wa watu amechagua njia ya maridhiano ili kuijenga Tanzania mpya, tunatakiwa tumtie moyo.

Hii nchi siyo ya Wahutu wapenda ubaguzi, chuki, uonevu na dhuluma! Ni ya Watanzania tuliojaliwa upendo, umoja na mshikamano.
Hakukuwa na haja ya kumkamata Mbowe, period!

Si 2020, si 2021.

Yeye kakamatwa 2021. Kakamatwa Samia akiwa Rais.

The buck stops with her. Period, end of sentence.
 
Back
Top Bottom