Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,888
- 141,545
- Thread starter
- #161
Magufuli alikuwa keshakufa.Kwamba amekamatwa kipindi Samia ni Rais hakuna anayebisha, lakini angekamatwa kama kusingekuwa na huo ushahidi uliopikwa Kwa maelekezo ya mwendazake?
Na Je mama alipaswa kufanyaje pale alipoambiwa na wasaidizi wake wenye dhamana kwamba Wana ushahidi usio na shaka kwamba Mbowe ni gaidi?
Mwisho wa siku utagundua Mama Samia hakuwa na option zaidi ya kufuatilia kinachoendelea mahakamani ndiposa akagundua ni ushahidi wa mchongo akaanza kutafuta exit plan.
Samia alikuwa anapindua yote ya Magufuli tena kwa kasi ya ajabu.
Tuliona Rugemalira alivyotolewa jela/ gerezani.
Kwa Rais Mungu tuliyenaye, asingeshindwa kupindua na ya Mbowe.
Mnachofanya hapa ni ‘reaching’.
Hii kesi ya Mbowe inamwangukia Samia 💯 %.