CCM’s svengali hold

CCM’s svengali hold

Mbaya zaidi wanamlaumu Magufuli, kwamba Mbowe alifungwa na Magufuli, kwa maoni yangu huyu Raisi anawadharau sana hata tu ukiangalia body language yake, anawaona ni inferior being hamna namna unaweza kulielezea hili, mtu kakupa kesi, kakuweka ndani karibia mwaka anakuachia halafu unaanza kumsifu, really ??
 
Yaani anatengeza tatizo kisha ana litatua halafu wajinga wana imba mapambio,nyoooolooo zao tena na tena na tena,ume nikumbusha mbali sana hiyo nyoloooooo.
Bibi yangu alikuwaga ananitukana hivyo….’nyolo ebhe’ 🤣🤣🤣
 
Inauma lakini ukweli, alitakiwa akutane na sisi tuliopaza sauti kwanza.
Nahisi ameshafika bei kama mashinji au wale covid19

Hilo ndilo lilikuwa sharti la kuachiwa, kuanzia sasa hivi Mbowe ni mapambio tu.
 
Mbaya zaidi wanamlaumu Magufuli, kwamba Mbowe alifungwa na Magufuli, kwa maoni yangu huyu Raisi anawadharau sana hata tu ukiangalia body language yake, anawaona ni inferior being hamna namna unaweza kulielezea hili, mtu kakupa kesi, kakuweka ndani karibia mwaka anakuachia halafu unaanza kumsifu, really ??
Mbowe kafungwa wakati Magufuli keshakufa na kuoza [kwa maneno yao].

Magufuli hahusiki na chochote kuhusu Mbowe kufungwa!
 
Post yako imeongozwa na chuki kwa Mbowe na Chadema. Wewe ni mmoja ya watu walioumia sana kuona Mbowe na Chadema wamefanikiwa kwenye hii kesi. Na bado.... kuna mengi yanakuja. Mwaka huu mtakufa kwa kihoro.
 
It’s now not even debatable that CCM know how to play the game of politics better than anybody.

They have an indescribable svengali type of hold on the rest of the opposition parties that renders them [the opposition] functionally ineffective.

For the life of me, somebody explain this to me. Make it make sense;

1. Unakamatwa na kufungwa bila kosa/ makosa.

2. Unafunguliwa mashitaka ya uongo/ kizushi ambayo hayana dhamana [ili usote mahabusu].

3. Tunaambiwa eti wewe ni gaidi na ushahidi upo unaothibitisha hilo [licha ya kwamba mtu yeyote mwenye akili anajua wewe siyo gaidi].

4. Kesi inaendeshwa kwa mwendo wa konokono kwa makusudi tu ili uendelee kutaabika jela.

5. Kwa vile mashitaka ni ya uongo/ kizushi, kesi inadhihirika kuwa kituko baada ya mashahidi kuanza kutoa ushuhuda wao.

6. Baada ya miezi takriban minane [8], mwendesha mashitaka ananena kuwa hana nia ya kuendelea na kesi.

7. Sijui hiyo nia ya kutotaka kuendelea na kesi imemjia lini? Labda alioteshwa usiku 🤣.

8. Mashitaka yanatupiliwa mbali. Unaachiwa huru baada ya kusota lupango kwa muda wote huo.

9. Wamekupotezea muda kwa mambo ya kizushi. Wamekutesa. Wamekunyanyasa. Wamekuvunjia heshima. Wamekuzushia mambo ya ajabu.

10. Licha ya yote hayo ambayo ni dhahiri shahiri waliyafanya kwa makusudi tu ili unyanyasike, hutopewa fidia yoyote ile.

11. Ulichoambulia ni kualikwa ikulu kwenda kukutana na mtu aliyesababisha madhila yote hayo dhidi yako. Kwenye picha nilizoziona, sikuona bilauri za juisi kama tulivyowahi kuziona hapo zamani mlipoitwa ikulu baada ya kupigwa virungu na kumwagiwa maji ya upupu. Safari hata juisi ya Sayona hukupewa! Au ulikunywa?

12. Unatoka jela, badala ya kukutana na kuongea na watu waliosimama na wewe muda wote huo ambao uliporwa uhuru wako, wewe unaenda moja kwa moja kuonana na kucheka cheka na mtu aliyekusababishia madhila yote hayo uliyoyapitia katika hizo siku 200 na kitu.

13. Umekosea sana aisee. Yeye ndo alipaswa aje kwako kukuona. Yeye na serikali yake ndo wanapaswa kukuomba radhi kwa usumbufu waliokuletea wewe pamoja na familia yako. Wao ndo wanapaswa kukufidia vyote ulivyopoteza pindi walipokuwa wamekufunga.

14. Umeonyesha udhaifu mkubwa sana ambao CCM wataendelea kuutumia kuwapumbaza na kuwahadaa kwa siku, miaka, na miongo ijayo.

15. CCM wataendelea kuwapiga, kuwanyanyasa, kuwatendea vibaya, na mwisho wa siku watawaalikeni ikulu muende kupiga picha, kunywa juisi, na kula biskuti halafu mnasahau kabisa mabaya yote mliyotendewa. Mko wepesi mno wa kusamehe na kusahau.

Sioni kabisa CCM ikitoka madarakani kwa upinzani huu tulionao. Hata kwenye katiba mpya, kama ikija kupatikana, mtahadaiwa na kurubuniwa tu. Na mtalia weee hadi mtachoka na kunyamaza.

16. Wapinzani wa Tanzania wakiongozwa na CHADEMA, hamna kabisa uti wa mgongo.

Just a bunch of weak weasels.
Namsikitikia Tundu Lissu maana alipo anaumia
 
Kwa kuwa wewe si mwanasiasa unapaswa kusamehewa kwa ulichokiandika. Tuna references nyingi sana za matukio kama hayo duniani, lakini hazikuwamaliza watu kisiasa bali ziliwapaisha
  1. NELSON MANDELA: Hakuna binadamu aliekaa jela kwa wakati mrefu kwa kesi ya mchongo ya uhaini kama yeye lakini hakuomba msamaha kwa watesi wake ili wamwachie ingawa walitamani sana afanye hivyo, alipotoka Gerezani hakuwasusa maadui zake kisiasa waliomfunga na kumtesa kwa miaka 27 alikaa nao wakazungumuza kichozaliwa ndio hiyo afrika kusini ya sasa.
  2. JOMO KENYATTA: Alifungwa kwa kesi ya uhaini ya kuchonga na kukaa gerezani kapengurya,alipotoka alikaa chini na watawala wakajadiriana ndio hiyo kenya unayoiona leo.
Hiyo ni mifano miwili iliyotokea hapa jirani kwetu, mazungumuzo,majadiriano,na watawala ndio njia pekee inayoweza kumfikisha mbowe na CHADEMA kwenye malengo yao.

Njia anayopaswa kuipita mbowe ni ile waliyopita kina Nelson Mandela mashujaa wa afrika,Kwa hiyo akisusa atakuwa anamkomoa nani?

Kamwe Mbowe hataingia kwenye njia za kihaini na kigaidi ili kupigania haki za watanzania, na njia halali ndio hiyo ya kuzungumuza.
Lakini kwenu vijana poleni sana maana ujana ni maji ya moto.
 
Wahenga wa Kati (si zamani sana) walinena "Siasa ni mchezo mchafu"

Yaani wanakutengenezea kosa harafu wanakusamehe na wewe unawasifia harafu wanakutumia

Hashtag Mbowe siyo Gaidi
 
Sina hakika alichokiandika mleta mada kama umekielewa.
 
Wahenga wa Kati (si zamani sana) walinena "Siasa ni mchezo mchafu"

Yaani wanakutengenezea kosa harafu wanakusamehe na wewe unawasifia harafu wanakutumia

Hashtag Mbowe siyo Gaidi
Wanajishindia pointi za kisiasa kirahisi sana.
 
Naamini alienda mwenyewe…
Ujinga imewajaa sana, ulitegemea Mbowe akae ndani miaka yote? Unajuaje Kama Mbowe ndo aliomba kuonana na Mh Rais? Je yale unayoyasema kuridhiana huo ni maridhiano yapi?

Suala la mtu kumtesa mtu kwa kesi ya uongo siyo upande wa Upinzani tu...rejea matajiri waliokamatwa na kuswekwa ndani kipindi Cha Marehemu kisa na mkasa wamekataa pesa zao zisiguswe na Serikali.

Mtu yeyote anaweza kuguswa na Serikali chini ya katiba na Sheria zetu hizi awe Rais au kapuku Kama wewe na Mimi..
Punguzeni ujinga na piganieni Sheria na katiba ibadilishwe tofauti na hapo mtawasingizia sana CCM...au hujui kua Ndugai ameguswa kuliko ata huyo Mbowe?
 
Ndo umeandika nini hapo?
 
Wanajishindia pointi za kisiasa kirahisi sana.
Talk sense to a fool and he will call you foolish. You have nailed it.
Sana sana watakutukana na kuku ignore lakini umesema ukweli.
Hakuna credible upinzani Tanzania. Kuna part time politicians wenye kusimamia maslahi yao kwanza.
 
Na wewe hii post yako imeongozwa na chuki kwangu!
Wasukuma bana mlichelewa wapi? Sasa Raisi akikuomba ukitoka gerezani pita ikulu nikukombe msamaha uende zako kuna shida gani?

Juzi mlimlaumu lisu kwa kutoitikia wito wa kuongea na Raisi, mkasema ana kiburi, na anapoteza fursa,

Leo Raisi kajishusha kamwita wakutane kwenye ofisi za umma Ili kumwomba mbowe msamaha mnambagaza mbowe kweli?

We ulitaka Raisi amfuate mbowe mikocheni? Hata kama logistic haziruhusu
 
Back
Top Bottom