CCM yaweza kutawala kwa miaka 100 ikiwa tu...

CCM yaweza kutawala kwa miaka 100 ikiwa tu...

when your eyes can't see beyond green and yellow, you'll never understand a thing my friend!
Ahaaa. Kumbe mimi naona kijani na Majano. Duh!!
Ila ukweli hubaki ni ukweli.
 
CCM ni chama ambacho kimekuwa katika utawala wa taifa hili kwa miaka mingi sana. Na kina mizizi hadi mashinani tofauti na vyama vingine vya upinzani. Na kwa ujio wa vyama hivi pia kumeipa CCM changamoto si haba.

Kuwa na wanachama mpaka mashinani si jambo ambalo linaweza kudumu ikiwa CCM haitabadilisha mbinu zake katika ku maintain/Kushikilia na hata kuongeza wananchama wengine.

CCM inaweza kutawala hata zaidi ya miaka 100 ikiwa itafanya MABADILIKO katika mbinu zake bila hata kutumia NGUVU/MABAVU katika kushindana na WAPINZANI.
Baadhi ya mbinu hizo ni kuwa:

1. ili CCM izidi kukubalika na kudumu ni lazima iwe na kitengo chake maalumu kitakachohusika hasa na mambo ya UTAFITI/Research- CCM POLITICAL STRATEGY RESEARCH. Kitengo hiki kazi yake kuu iwe ni kufanya UTAFITI MASHINANI ili kujua
Ni nini WANACHAMA na Wananchi kwa ujumla HAWAKIPENDI ama WANGETAKA kifanywe .
Both katika:
KUINUA MAISHA ya wananchi,
Katika KUKIBORESHA chama cha CCM.

2. MALALAMIKO hayo ama MAPENDEKEZO yawe analyzed na YAFANYIWE KAZI.
Maisha ya Mtazanaia Mashinani YAKIBOREKA CCM itatawala zaidi ya miaka 100.

Lakini ikijiona na kusema "TUTASHINDA TU Sisi ni chama kikubwa" inaweza kuangushwa vibaya sana.

Anaweza AKAINUKA jamaa yeyote tu na akawa VERY CHARISMATIC leader MUHAMASISHAJI wa ajabu kutoka chama kingine na pengine akawa hana hata hela lakini ana MDOMO wa ASALI na kujikuta AMEITEKA mioyo ya Watanzania WENGI NA HATA WANA CCM . Huku aki MAJOR kuhusu udhaifu wa CCM na hivyo kubadili mkondo wa kisiasa nchini kabisa.

3.CCM POLITICAL STRATEGY RESEARCH IAJIRI vijana wasomi wanaojua SCIENTIFIC RESEARCH na mambo ya STATISTICS /TAKWIMU.
Kwa kufanya hivi CCM itajua MALALAMIKO,VILIO na MAHITAJI na MAPENDEKEZO ya watu na KUJARIBU kadri ya uwezo wao KUYATATUA ama kuwapa MATUMAINI.

4.VIONGOZI wa CCM wawe WASIKIVU wazuri sana.
Na Mtu akitoa maoni mbadala yaliyotofauti asionekane na kuwa ni mpinzani maana DEMOKRASIA ni lazima IWEMO NDANI ya CHAMA chenyewe cha CCM..

5..WAZEE waliochoka wapumzike tu polepole na kutoa ushauri bali si utafiti.

6.Mambo ya CCM yasiachiwe TISS. Acha TISS ishughulikie usalama wa Taifa letu.
Na mambo ya SIASA yaachiwe wanasiasa.

Na ikiwa ni ku chip in iwe ni kidogo kidogo sana. Maana wanatakikana kuwa APOLITICAL ENTITY/ WASIOEGEMEA chama chochote kulingana na kazi yao.
Hakuna chama kimetawala miaka mia. Na haitawekana
 
Mkuu si kauli njema. SIFII CCM balinnatoa hoja. Na kama inakuudhi. Unaweza kukaa kimya ama ujibu kwa hoja chanya ama mbadala.Kutukanana si KUZURI hata kama CCM ni ADUI yako mkubwa sana!!!!!!
Toa hoja zenye mashiko mkuu
 
Hakuna chama kimetawala miaka mia. Na haitawekana
Unaijua nchi ya China ama unaisikia tu mkuu?
Chama chao kimetawala sasa nimiaka mingapi tangu Mao Tsetung mwasisis wa Chama cha Kikoministi?
Ukijua hiyo basi utakuwa umepata jibu.
URUSI nayo je chamachao kina miaka mingapi?
 
Hapo number 6 ndo roho ya ccm ilipoegemea, hiyo ndo engine ya umafya was ccm, tiss ni ccm na ccm ni tiss, tembelea mikoani majengo yote ya ccm ndimo walimo tiss hata hapo lumumba tiss wamo wengi tu, huu mwingiliano was tiss na ccm ndo uliotufikisha hapa na unatupeleka kuzimu maovu yote ya serkali yanafichwa wadadisi wanashughulikiwa, tiss in return wanapewa vyeo na nafasi za kazi kwenye taasisi zote za serkali matokeo yake taasisi hazina ufanisi maana fisadi ni tiss anaetakiwa kumchunguza takukuru nae ni tiss, kesi ikienda mahakamani Jaji nae ni tiss, it is a vicious circle
Swali kama kila mtu ni TISS basi BAJETI YAO itakuwa ,kubwa sana sana na italemea uchumi wa nchi yetu.
Mkuu bado siamini hilo ni kweli.
Labda unsema INFORMANTS ningekuelewa. Maaana bila hivyo hawawezi. Lakini kila mtu awe on Payroll never heard of that Mkuu.
CCM ni CCM na TISS hafanyi majukumu ya chama. Kisheria hiyo ni kukiuka mipaka UNLESS....{............... }

Wao ni WASHAURI wakuu wa Serikali. Baada ya kukusanya habari zao pengine hata za wanasiasa. Wao Si WATEKELEZAJI/Law ENFORCERS.
Kama walishageuka wakawa washauri wa CCM mimi sijui.

Marekani na nchi zilizoendelea vyombo hivyo huwa havijiingizi katika mambo ya kisiasa.
Basi Africa basi tuna shida kubwa ndo pengine maana hatusongi.
Sikatai kuwa wanaweza kuwashauri CCM WAKIOMBWA ushauri wao hasa wakati wa JOTO la KISIASA likiwa juu!
Bado naamini kazi yao SI SIASA 24/7
 
hakuna nchi ya hovyo kama Tanzania na Watanzania.......Usiniulize kwanini we chekecha akili tu
Itakuwaje nchi ya hovyo na wewe mwenyewe unaishi humu nchini. Si uhamie nchi nyingine mkuu?
 
Fia mbali na CCM yako
Siwezi kufia chama chochote.
Nina maisha yangu mwenyewe ya kuishi na shughuli zanguzinanitosha.
Naona CCM ni adui yako mkubwa sana. Shusha pumzi mkuu utaumiabure. Waondo wanaotawala.
 
Naona hujaelewa, nimekuambia hizo taasisi sasa zinaweza kupewa maelekezo na wanasiasa ni kipi wafanye na kipi wasifanye. Yaani usishangae mwenyekiti wa ccm mkoa akimuamuru polisi jinsi ya kutekeleza wajibu wake. Usishangae CID akiagizwa na msemaji wa ccm jinsi ya kusimamia vyama vingine vya kisiasa katika wajibu wake wa kisiasa. Katibu wa ccm wa wilaya anaweza kumuagiza afisa wa immigration namna ya kudeal na wahamiaji. Sio kuteleza ni mambo yako wazi. Sasa hivi tunaona wanaccm wakiwajeruhi wapinzani wao kisiasa mbele ya polisi na hakuna hatua inachukuliwa. Kwa mazingira haya inaonyesha jeshi la polisi linapata maaagizo toka ccm kufumbia macho uhalifu wao. Haya yako wazi.
Basi ni kusema Chain of command zimetupiliwa mbali ikiwa ni pamoja nakuacha maadili ya kiutumishi NA KUBAKI KILA MTU NI BOSI ANYWHERE and any time na hivyo basi sasa ni siasa tu? Basi ni majabu!!.
 
Nilivyoambiwa na mwingine kuwa TISS hausiani na VISIASA SIASA. Hilo nalo ni jipya sijalisikia
Ni lini Mkurugenzi wao alishawahi kutoa tamko kwa niaba ya CCM?

Ukinikibu hapo labda sasa nitakuelewa. Zingine ni dhana tu nafikiri,
Na inawezekana nikawa sina ufahamu kama wewe, Nisaidie kupanua uelewa wangu na ufahamu wangu katika hilo
Umerogwa wewe
 
Mkuu mbona Kiswahili chako kina walakini namna hii?

Propaganda ni tofauti na UTAFITI uliojaa usomi /Sayansi.
si kujipendekeza with ggood report,
bali hata ile report i;liyo mbaya engowanaaya wanaiwasilisha,.
Wamarekani kwa hilo katika vyama vyao kibao.
CCM ni vizuri waaamuke

Na hapa chini uandishi wako una walakini.

Mkuu un UHAKIKA?
Nchi itaaendeleaje katila mtondo wa namna hiyo;
Je mtu aliyekuibia mbuzi yako unaweza kukwambia AKUSAIDIE KUITAFUTA?
Umeniacha kwenye mataa la sivyo unipe data HALISI mkuu.
 
Akili yako ina mushkeli hadi kuweza kuandika upuuzi kama huu.

CCM ni chama ambacho kimekuwa katika utawala wa taifa hili kwa miaka mingi sana. Na kina mizizi hadi mashinani tofauti na vyama vingine vya upinzani. Na kwa ujio wa vyama hivi pia kumeipa CCM changamoto si haba.

Kuwa na wanachama mpaka mashinani si jambo ambalo linaweza kudumu ikiwa CCM haitabadilisha mbinu zake katika ku maintain/Kushikilia na hata kuongeza wananchama wengine.

CCM inaweza kutawala hata zaidi ya miaka 100 ikiwa itafanya MABADILIKO katika mbinu zake bila hata kutumia NGUVU/MABAVU katika kushindana na WAPINZANI.
Baadhi ya mbinu hizo ni kuwa:

1. ili CCM izidi kukubalika na kudumu ni lazima iwe na kitengo chake maalumu kitakachohusika hasa na mambo ya UTAFITI/Research- CCM POLITICAL STRATEGY RESEARCH. Kitengo hiki kazi yake kuu iwe ni kufanya UTAFITI MASHINANI ili kujua
Ni nini WANACHAMA na Wananchi kwa ujumla HAWAKIPENDI ama WANGETAKA kifanywe .
Both katika:
KUINUA MAISHA ya wananchi,
Katika KUKIBORESHA chama cha CCM.

2. MALALAMIKO hayo ama MAPENDEKEZO yawe analyzed na YAFANYIWE KAZI.
Maisha ya Mtazanaia Mashinani YAKIBOREKA CCM itatawala zaidi ya miaka 100.

Lakini ikijiona na kusema "TUTASHINDA TU Sisi ni chama kikubwa" inaweza kuangushwa vibaya sana.

Anaweza AKAINUKA jamaa yeyote tu na akawa VERY CHARISMATIC leader MUHAMASISHAJI wa ajabu kutoka chama kingine na pengine akawa hana hata hela lakini ana MDOMO wa ASALI na kujikuta AMEITEKA mioyo ya Watanzania WENGI NA HATA WANA CCM . Huku aki MAJOR kuhusu udhaifu wa CCM na hivyo kubadili mkondo wa kisiasa nchini kabisa.

3.CCM POLITICAL STRATEGY RESEARCH IAJIRI vijana wasomi wanaojua SCIENTIFIC RESEARCH na mambo ya STATISTICS /TAKWIMU.
Kwa kufanya hivi CCM itajua MALALAMIKO,VILIO na MAHITAJI na MAPENDEKEZO ya watu na KUJARIBU kadri ya uwezo wao KUYATATUA ama kuwapa MATUMAINI.

4.VIONGOZI wa CCM wawe WASIKIVU wazuri sana.
Na Mtu akitoa maoni mbadala yaliyotofauti asionekane na kuwa ni mpinzani maana DEMOKRASIA ni lazima IWEMO NDANI ya CHAMA chenyewe cha CCM..

5..WAZEE waliochoka wapumzike tu polepole na kutoa ushauri bali si utafiti.

6.Mambo ya CCM yasiachiwe TISS. Acha TISS ishughulikie usalama wa Taifa letu.
Na mambo ya SIASA yaachiwe wanasiasa.

Na ikiwa ni ku chip in iwe ni kidogo kidogo sana. Maana wanatakikana kuwa APOLITICAL ENTITY/ WASIOEGEMEA chama chochote kulingana na kazi yao.
 
Akili yako ina mushkeli hadi kuweza kuandika upuuzi kama huu.
Dah.Umenipatia bonge la tusi. Sina Mshkeli ila akili n inywele kila mtu ana zake.
Ila uzuri ume comment na hii ni kusema imekuingia na kukufurahisha na pengine kukukasirisha,
Tuvumilianae tu mkuu,
Toa sababu kwa nini umeona mshkeli?
 
Back
Top Bottom