CCM ni chama ambacho kimekuwa katika utawala wa taifa hili kwa miaka mingi sana. Na kina mizizi hadi mashinani tofauti na vyama vingine vya upinzani. Na kwa ujio wa vyama hivi pia kumeipa CCM changamoto si haba.
Kuwa na wanachama mpaka mashinani si jambo ambalo linaweza kudumu ikiwa CCM haitabadilisha mbinu zake katika ku maintain/Kushikilia na hata kuongeza wananchama wengine.
CCM inaweza kutawala hata zaidi ya miaka 100 ikiwa itafanya MABADILIKO katika mbinu zake bila hata kutumia NGUVU/MABAVU katika kushindana na WAPINZANI.
Baadhi ya mbinu hizo ni kuwa:
1. ili CCM izidi kukubalika na kudumu ni lazima iwe na kitengo chake maalumu kitakachohusika hasa na mambo ya UTAFITI/Research- CCM POLITICAL STRATEGY RESEARCH. Kitengo hiki kiwe na WATAAALAMU mbali mabali wengine waliosomea POLITICAL SCIENCE NK
.Na kazi yake kuu iwe ni kufanya UTAFITI MASHINANI ili kujua
Ni nini WANACHAMA na Wananchi kwa ujumla HAWAKIPENDI ama WANGETAKA kifanywe .
Both katika:
KUINUA MAISHA ya wananchi,
Katika KUKIBORESHA chama cha CCM.
2. MALALAMIKO hayo ama MAPENDEKEZO yawe analyzed na YAFANYIWE KAZI.
Maisha ya Mtazanaia Mashinani YAKIBOREKA CCM itatawala zaidi ya miaka 100.
Lakini ikijiona na kusema "TUTASHINDA TU Sisi ni chama kikubwa" inaweza kuangushwa vibaya sana.
Anaweza AKAINUKA jamaa yeyote tu na akawa VERY CHARISMATIC leader MUHAMASISHAJI wa ajabu kutoka chama kingine na pengine akawa hana hata hela lakini ana MDOMO wa ASALI na kujikuta AMEITEKA mioyo ya Watanzania WENGI NA HATA WANA CCM . Huku aki MAJOR kuhusu udhaifu wa CCM na hivyo kubadili mkondo wa kisiasa nchini kabisa.
3.CCM POLITICAL STRATEGY RESEARCH IAJIRI vijana wasomi wanaojua SCIENTIFIC RESEARCH na mambo ya STATISTICS /TAKWIMU.
Kwa kufanya hivi CCM itajua MALALAMIKO,VILIO na MAHITAJI na MAPENDEKEZO ya watu na KUJARIBU kadri ya uwezo wao KUYATATUA ama kuwapa MATUMAINI.
4.VIONGOZI wa CCM wawe WASIKIVU NA WENYE uvumilivu MKUU sana hasa katika maoni tofauti yanoyoweza kutolewa ndani kwa nadani
Na Mtu akitoa maoni mbadala yaliyotofauti asionekane na kuwa ni mpinzani maana DEMOKRASIA ni lazima IWEMO NDANI ya CHAMA chenyewe cha CCM..
5..WAZEE waliochoka wapumzike tu polepole na kutoa ushauri bali si utafiti.
6.Mambo ya CCM yasiachiwe TISS. Acha TISS ishughulikie usalama wa Taifa letu.
Na mambo ya SIASA yaachiwe wanasiasa.
Na ikiwa ni ku chip in iwe ni kidogo kidogo sana. Maana wanatakikana kuwa APOLITICAL ENTITY/ WASIOEGEMEA chama chochote kulingana na kazi yao.