CCM yaweza kutawala kwa miaka 100 ikiwa tu...

CCM yaweza kutawala kwa miaka 100 ikiwa tu...

Could that be true? Pole nimerudia kuuliza tu maana nimerudia rudia kuusoma uzi na mchango wako kadhaaa hivi ili nitafakari vizuri. Ila neno MAFIA si zuri. Tumia nenolaupole kidogo tu.Ahsante.
Maneno yote yanayoelezea ubaya huwa ni mabaya unfortunately inabidi tu yatumike maneno Kama ujangili, ufisadi, udikteta, umafia, warlord, syndicate nk yanatumika kuashiria a negative trend that affects a society sometimes the truth has to be seen as it is brave men and women will live to tell it,,.
 
Sawa mkuu. Uhuru wa kujieleza ni mzuri kuutumia.
 
Akili zako hazikotoshi hata wewe mwenyewe.
Uliwahi kusikia TISS wakitoa matamko au waraka wa hata hizo kazi zao walizopangiwa kisheria.
Aisee nafikiri zinanitosha.
Tatizo sijui kazi zaTISS nini. Na siziijui.
Ndo maana umeniita hazinitoshi. Ila zinanitosha ninavyoelewa.
Labda sijui kazi yao hasa ni kufanya nini? Hata neno TISS silijui linasimamia nini hasa . Nasikia tu likitajwa sijui maaana yake ninini nisaidie mkuu.

Wewe ambaye una akili inyingi tafadhali zidi kutusaisia watu kama sisi tusioelwa mengi.
However your obnoxious comments like these speak a lot about yourself.

Especially when you go on disparaging others instead of giving out your positive criticism in a civilized manner
Whilst knowing that what you are commenting borders between on hate and ignorance . But also too annoying to say the least!!!
My advice to you
Please you gotta
Stop insulting others.
Pause, and
do some serious introspection..
Having said that I would say this, these are signs of a very uniformed fellow,who needs social cohesion and accommodative attitude!!
 
Sawa mkuu. Uhuru wa kujieleza ni mzuri kuutumia.
Wako ambao wanadhani kuwa mamlaka walionayo yanawapa ruksa ya kutenda binadamu wenzao jinsi watakavyo, they are wrong wasichokijua ni kuwa we are all humans with similar destination
 
Wako ambao wanadhani kuwa mamlaka walionayo yanawapa ruksa ya kutenda binadamu wenzao jinsi watakavyo, they are wrong wasichokijua ni kuwa we are all humans with similar destination
and just to add on that we all deserve respect and all human rights regardless!
Sawa mkuu. Good point. And once we all no that we will treat each other with a lot of decorum and high esteem as human being.
 
Huko tunakoenda hapatabiriki, nchi imetawaliwa na siasa kila kona. Ukienda ofisi za umma si viongozi si wafanyakazi wengi ni makada wa CCM. Matamko ndio yametawala kila mahali. Katika hali kama hii tujiandae kudumbukizwa kwenye mdororo wa kila kitu
Uzuri hatutatumbukia papabaya.
 
Wacha kuidanga ccm, hizi mbinu ulizopendekeza hapa wakiamua kuzitumia wanaondoka madarakani mapema sana. Sio kwamba hawajui hizi mbinu ila haziwafanyi kushinda. Njia pekee ni kutumia Tiss kubaki madarakani. Hiyo ccm ni kama mwanamke mzee, hata ajipake wanja, avae nguo za vijana bado havutii na ukiona mwanamke mzee vijana wanamfuata ni hela zake ndio zinawavutia na sio urembo wake.
Mskuu iidanganyi. bali ni kweli kabisa. Chukulia mfano wa mwanamke anayeonekana kuwa umri umeenda kidogo AKIJIPAMBA na kuweka VIPODOZO wee! UTAPENDAAA!!!.
Huo ndo ukweli.
 
Back
Top Bottom