CCM yaunda 'ukawa' yake dhidi ya CHADEMA

Imeisha ile kaka
Trust me, CCM inavyoikandamiza CDM kwa msaada wa Serikaka inakosea sana. Watu kwa asili hawapendi mtu/ kitu kibabe. Namkubali sana JPM but sio CCM. Kuna sababu nyingi za watu kuichukia CCM fanya research utagundua.
 
Ule mziki wa 2015 mpaka leo CCM wameingiza ubaridi hawatamani kabisa kusikia neno CDM.
Waishukuru sana NEC,TISS,POLICE na Kikwete kwa kukubali haramu baada ya kuona wamepigwa Kote kote(Bara na Visiwani) wakakubali kupindua matokeo.Ndiyo maana hadi leo wanafanya kampeni ya uchaguzi,bila kufuata utaratibu rasmi.Wamechoka kupambana na wanayemwita mfu,aibu yao na bado 2020.CCM kuungana na tlp,cuf,nccr mageuzi!Unafikiri nini sababu?Pumzi imewaisha,CDM bado ni tishio hawalali.
Waheshimiwa Mbowe,Zitto,Lissu,Mnyika,Kubenea,Lema,Msigwa,Heche,Bulaya,Matiko,Iron Lady binti Mdee na wengine ambapo list ni ndefu ila ukurasa ni mfupi,Sisi Watanzania tunatambua kazi kubwa mnayofanya kutupigania kwa ukweli.Tatizo letu wengi tumepofushwa na propaganda mfu za mabadiliko ila bigup kwenu Makamanda.Historia haitowasahau kamwe kwa jinsi mnavyosulubishwa ndiyo Dhahabu hung'aa zaidi moto unavyokolea.Chya ziapukutika na Michele safi unaonekana na kwenye macho.
Tuunganisheni kupitia mikakati ya dharura ya elimu ya uraia kwa hasa watu wa vijijini,MTU kwa MTU hadi kieleweke.Tuwajengee ujasiri Watanzania wa kutambua haki zao na kupiga,kulinda kura zao za haki.Tukijiwekea malengo ya dharura let say watu laki moja wakielewa na kila moja akashawishi wapiga kura hats kumi,hao kumi wakahamasisha wapiga kura watano kila moja na hao watano wakapata angalau wawili kila moja na hiyo chain ikaendelea=CCM+TLP+CUF+NEC na makandokando yao out of the contest early in the morning.Tunalinda kura hadi mwisho,mbona ni wepesi kulikoni vyepesi.Tuamke,mkoloni Huyu ni mbaya kulikoni Botha,Ian Smith and co.
 
Mchezaji wa AKIBA
 
Ule mziki wa 2015 mpaka leo CCM wameingiza ubaridi hawatamani kabisa kusikia neno CDM.
Hamna uwezo wa kupamban na CCM october mmeshafeli huo ndo ukwel mchungu!.endeleeni kujifariji tu humu JF ,kwanza mna sera zipi za kuwaambia wananchi!,Mgombea Urais tu hamna!
 
Wanavozidi kutumia nguvu ndio wanazidi kutufanya tuipende zaidi CHADEMA !
 
Kama hakuna tume huru Chadema wasitusumbue kwenda kuwapigia kura wakati tunajua kabisa matokeo kocha .kashapanga.

Iyo pesa ya uchaguzi si tuwekewe tu mpesa
Msitafute visingizio ,huu sio muda wa kudai tume huru! kama CDM wanaona tume sio huru basi wasiende kugombea ubunge hapo october! Utagombeaje ubunge kwenye tume ambayo sio huru? Kama wanaona haipo huru basi wasigombee ubunge na naamini hawawezi!.Yani tume hiyo ilikupa ubunge ubunge 2015 alaf eti leo miezi mitano imebaki unadai tume huru!.Upinzani mkubali mmeshashindwa msitafute visingizio!.
 
Hivi Luwasa alipohutubia na kusema kura zilihesabiwa vibaya mpaka akaitwa polisi alimaanisha kweli au?
 
Tatizo nahisi ni corona maana kama ni kazi mkuu anachapa kazi kwelikweli
 
Mkuu CCM ya sasa hata isipopiga kampeni ushindi ni 98% Kwasababu Chadema imechokwa sana na Watanzania kwa tabia zake kutumika na Mabeberu.

Ni wazi hatutakuwa na mpinzani mwenye ushawishi km Lowasa kwa miaka 50 ijayo.
Kwakuwa wamechokwa na ndio maana mkawazuia wasiendelee kufanya mikutano huku nyinyi mnaopendwa mkiruhusiwa kufanya siasa peke yenu kwa kulindwa na policcm.
 
Sio s
Sio siri hakuna wakati CHADEMA inaogopwa kama wakati huu inashangaza mno pamoja na yote ccm wanayojitapa kufanya bado wanatetemeka wakisikia CDM.
 
Tutamlinda Mhe. @freemanmbowetz kwa gharama yoyote ile...ndiyo Kiongozi wetu ✌️
"Leo ukifika Tanzania unaweza kufikiria @ChademaTz ndiyo chama tawala na @ccm_tanzania imeungana na Vyama vingine kupambana na @ChademaTz". --Patrick Ole Sosopi.
 
Nimeamini Chadema tuna nguvu kubwa mno, haiwezekani Magufuli ahangaike hivi
 
Mkuu CCM ya sasa hata isipopiga kampeni ushindi ni 98% Kwasababu Chadema imechokwa sana na Watanzania kwa tabia zake kutumika na Mabeberu.

Ni wazi hatutakuwa na mpinzani mwenye ushawishi km Lowasa kwa miaka 50 ijayo.
sema polisi wamekuwa wakitusaidia chaguzi zote. hata mwenyekiti wetu aliyepita (JK) alikiri hili kwa uwazi kabisa.
tangu mwalimu atutoke 1999, bila msaada wa polisi chama chetu ni takataka kabisa!
 
Nadhani mambo serikalini yamekuwa yakiendeshwa kama vile serikali haikuwekwa na watu na haina hitaji la kuungwa mkono na raia wake hasa wafanyabiashara na wafanyakazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…