Sr. Magdalena
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 803
- 472
CCCM wametumia kiasi cha shiling bilioni tatu (3 bilioni) kwenye uchaguzi mdogo wa Igunga huku CDM wakiwa wametumia kiasi cha shiling milioni mia nne (400 milioni), na ndege mbili (moja magamba na nyingine magamba mtoto) zililipiwa na R.A. - Mtanzania
Sheria za uchaguzi mdogo wa ubunge inasemaje hapa.
Ujinga kama huu usiendekezwe hapa JF! JF sio sehemu ya Propaganda,ni chombo gani kimechunguza ndani ya siku 2 nakujua vyama idadi ya fedha zilizotumiwa na kila Chama! Ujinga kama huu wa kuzusha mambo hauna manuafaa kama tunataka ukombozi wa kweli

breaking news source kutoka wapi? mie nahisi wametumia zaidi ya bil.3, mashehe wa bakwata sina hakika waliramba kiasi gani.
Ujinga kama huu usiendekezwe hapa JF! JF sio sehemu ya Propaganda,ni chombo gani kimechunguza ndani ya siku 2 nakujua vyama idadi ya fedha zilizotumiwa na kila Chama! Ujinga kama huu wa kuzusha mambo hauna manuafaa kama tunataka ukombozi wa kweli
Habari hii chanzo chake kipo wapi? au ndiyo habari za kubuni kichwani mwako,kama ni ya kubuni na mimi na buni siyo bl 3 bali ni 13!!!
Hii hali inasikitisha,wakati mitambo ya IPTL inashindwa kuzalisha umeme,kutokana na ukosefu wa mafuta,CCM yatumia Tsh Bill 3kwenye uchaguzi wa jimbo moja tu........!!!!!
CCM wametumia kiasi cha shiling bilioni tatu (3 bilioni) kwenye uchaguzi mdogo wa Igunga huku CDM wakiwa wametumia kiasi cha shiling milioni mia nne (400 milioni), na ndege mbili (moja magamba na nyingine magamba mtoto) zililipiwa na R.A. - Mtanzania
Sheria za uchaguzi mdogo wa ubunge inasemaje hapa.
Hiyo ni hela ndogo sana kwa ccm , chadema hizo 400m zimewafanya wafilisike na kaunti zao zote benki ziko tupu. Haya tembezeni bakuli sasa mko ohe ahe hamna kitu
Tendwa ndiye anayejua , watawasilisha gharama za uchaguzi kwake. Kanuni ya uchaguzi haisemi kuhusu wingi wa fedha bali uhalali wake. Unaweza CDM kutumia $00 lakini hazieleweki eleweki.CCM wametumia kiasi cha shiling bilioni tatu (3 bilioni) kwenye uchaguzi mdogo wa Igunga huku CDM wakiwa wametumia kiasi cha shiling milioni mia nne (400 milioni), na ndege mbili (moja magamba na nyingine magamba mtoto) zililipiwa na R.A. - Mtanzania
Sheria za uchaguzi mdogo wa ubunge inasemaje hapa.
Kwani mtu kuwa chama tofauti na magwanda ni dhambi. Ndio DEMOKRASIA ya VYAMA VINGI. CDM mkichukua nchi hii hakiya shetani mtaua vyama vingine. Huu si mtazamo sahihi. Kubalini mageuzi. Msitake kila mtz awe CDMToa na wewe upuuzi wako hapa,sasa kama hesabu sio hiyo basi tujuze ni sh ngapi!?Wewe tunakujua ccm damdam kama vile umelishwa maji ya bendera.Kwani matokeo si hutoka baada ya kumaliza mtihani?,Igunga uchaguzi umeisha ni rahisi pia kujua gharama zilizotumika
Hiyo ni hela ndogo sana kwa ccm , chadema hizo 400m zimewafanya wafilisike na kaunti zao zote benki ziko tupu. Haya tembezeni bakuli sasa mko ohe ahe hamna kitu