CCM yatumia SH 3 BILIONI Uchaguzi Mdogo wa Igunga

Sr. Magdalena

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
803
472
CCM wametumia kiasi cha shiling bilioni tatu (3 bilioni) kwenye uchaguzi mdogo wa Igunga huku CDM wakiwa wametumia kiasi cha shiling milioni mia nne (400 milioni), na ndege mbili (moja magamba na nyingine magamba mtoto) zililipiwa na R.A. - Mtanzania

Sheria za uchaguzi mdogo wa ubunge inasemaje hapa.
 
breaking news source kutoka wapi? mie nahisi wametumia zaidi ya bil.3, mashehe wa bakwata sina hakika waliramba kiasi gani.
 
CCCM wametumia kiasi cha shiling bilioni tatu (3 bilioni) kwenye uchaguzi mdogo wa Igunga huku CDM wakiwa wametumia kiasi cha shiling milioni mia nne (400 milioni), na ndege mbili (moja magamba na nyingine magamba mtoto) zililipiwa na R.A. - Mtanzania

Sheria za uchaguzi mdogo wa ubunge inasemaje hapa.

Kama asilimia kubwa ya pesa hii ilidondokea Igunga, basi wanaIgunga waliofunguka kifikra na wanaojibidiisha kiuchumi walikuwa na fursa nzuri sana ya kujijenga, mzunguko wa fedha kiasi hicho ni afya sana kwa uchumi wa mji mdogo kama Igunga.
 
Hii hali inasikitisha,wakati mitambo ya IPTL inashindwa kuzalisha umeme,kutokana na ukosefu wa mafuta,CCM yatumia Tsh Bill 3kwenye uchaguzi wa jimbo moja tu........!!!!!
 
Ujinga kama huu usiendekezwe hapa JF! JF sio sehemu ya Propaganda,ni chombo gani kimechunguza ndani ya siku 2 nakujua vyama idadi ya fedha zilizotumiwa na kila Chama! Ujinga kama huu wa kuzusha mambo hauna manuafaa kama tunataka ukombozi wa kweli
 
Toa na wewe upuuzi wako hapa,sasa kama hesabu sio hiyo basi tujuze ni sh ngapi!?Wewe tunakujua ccm damdam kama vile umelishwa maji ya bendera.Kwani matokeo si hutoka baada ya kumaliza mtihani?,Igunga uchaguzi umeisha ni rahisi pia kujua gharama zilizotumika
 
Habari hii chanzo chake kipo wapi? au ndiyo habari za kubuni kichwani mwako,kama ni ya kubuni na mimi na buni siyo bl 3 bali ni 13!!!
 
Vile vile ni ujinga kutetea jambo ambalo hujua aliyeandika katoa wapi, unashangaa kujua matumizi ya chama ndani ya siku mbili?mbona nape alijua matokeo ya uchaguzi kabla shughuli ya kuhesabu haijaisha?
Ukombozi uanzie kwenye mawazo yako mgando!

Ujinga kama huu usiendekezwe hapa JF! JF sio sehemu ya Propaganda,ni chombo gani kimechunguza ndani ya siku 2 nakujua vyama idadi ya fedha zilizotumiwa na kila Chama! Ujinga kama huu wa kuzusha mambo hauna manuafaa kama tunataka ukombozi wa kweli
 
breaking news source kutoka wapi? mie nahisi wametumia zaidi ya bil.3, mashehe wa bakwata sina hakika waliramba kiasi gani.

Ujinga kama huu usiendekezwe hapa JF! JF sio sehemu ya Propaganda,ni chombo gani kimechunguza ndani ya siku 2 nakujua vyama idadi ya fedha zilizotumiwa na kila Chama! Ujinga kama huu wa kuzusha mambo hauna manuafaa kama tunataka ukombozi wa kweli

Habari hii chanzo chake kipo wapi? au ndiyo habari za kubuni kichwani mwako,kama ni ya kubuni na mimi na buni siyo bl 3 bali ni 13!!!

Source mbona iko wazi, vipi tumekuwa wavivu kiasi hichi, mbele ya R.A kuna nini hapo kama siyo source...mnahitaji maombi.
 
Hii hali inasikitisha,wakati mitambo ya IPTL inashindwa kuzalisha umeme,kutokana na ukosefu wa mafuta,CCM yatumia Tsh Bill 3kwenye uchaguzi wa jimbo moja tu........!!!!!

Kwani zilitumika fedha za serikali? kama sivyo hakuna tatizo lolote kwenye hili.
 
CCM wametumia kiasi cha shiling bilioni tatu (3 bilioni) kwenye uchaguzi mdogo wa Igunga huku CDM wakiwa wametumia kiasi cha shiling milioni mia nne (400 milioni), na ndege mbili (moja magamba na nyingine magamba mtoto) zililipiwa na R.A. - Mtanzania

Sheria za uchaguzi mdogo wa ubunge inasemaje hapa.

Hiyo ni hela ndogo sana kwa ccm , chadema hizo 400m zimewafanya wafilisike na kaunti zao zote benki ziko tupu. Haya tembezeni bakuli sasa mko ohe ahe hamna kitu
 
Maana yake CCM ina pesa nyingi ikiwa ni pamoja na mabilioni ya pesa walizohifadhi kwenye account ya mtu binafsi mwandamizi jeshi la wananchi kule Afrika Kusini?

nimeona kwenye gazeti la Tanzania Daima ambalo ni la CDM
lakini kuna maswali mengi ya kujiuliza kwamba vyama vyote vilitumia helkopta tena CDM walikaa nayo muda mrefu zaidi kuliko hao wengine na pia wabunge/viongozi wa chama wametumika katika vyama vyote, gharama haziwezi tofautiana sana unless mtwambie CDM walipewa helkopta ya ndesamburo ikiwa na mafuta bure (ambayo nayo ni gharama) na akina Mbowe, Zitto Tundu lissu na wengine walikuwa wanatumia pesa yao (gharama pia)

lakini mwisho wa siku alikuwa anatafutwa mbunge, ndiyo maana na CDM walikuwa forced kutumia nguvu kubwa
 
CCM wametumia kiasi cha shiling bilioni tatu (3 bilioni) kwenye uchaguzi mdogo wa Igunga huku CDM wakiwa wametumia kiasi cha shiling milioni mia nne (400 milioni), na ndege mbili (moja magamba na nyingine magamba mtoto) zililipiwa na R.A. - Mtanzania

Sheria za uchaguzi mdogo wa ubunge inasemaje hapa.
Tendwa ndiye anayejua , watawasilisha gharama za uchaguzi kwake. Kanuni ya uchaguzi haisemi kuhusu wingi wa fedha bali uhalali wake. Unaweza CDM kutumia $00 lakini hazieleweki eleweki.
 
Toa na wewe upuuzi wako hapa,sasa kama hesabu sio hiyo basi tujuze ni sh ngapi!?Wewe tunakujua ccm damdam kama vile umelishwa maji ya bendera.Kwani matokeo si hutoka baada ya kumaliza mtihani?,Igunga uchaguzi umeisha ni rahisi pia kujua gharama zilizotumika
Kwani mtu kuwa chama tofauti na magwanda ni dhambi. Ndio DEMOKRASIA ya VYAMA VINGI. CDM mkichukua nchi hii hakiya shetani mtaua vyama vingine. Huu si mtazamo sahihi. Kubalini mageuzi. Msitake kila mtz awe CDM
 
Hiyo ni hela ndogo sana kwa ccm , chadema hizo 400m zimewafanya wafilisike na kaunti zao zote benki ziko tupu. Haya tembezeni bakuli sasa mko ohe ahe hamna kitu

Billion tatu kweli ni ndogo sana ukipunguze kwenye billion 94 wanazotarajiwa kulipwa DOWANS. Hata hivyo kama upinzani ndio hivi unakuja juu na majimbo yako 260 CCM tutatakiwa tuandae TShs. 3 billion X 260 = Billion 780 ili tubaki madarakani mwaka 2015. Tofauti na hivyo viongozi wakuu wa serikali wawe makini na maamuzi wanayofanya kunzia sasa mpaka mwaka 2015 wasijeishia gerezani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom