CCM yatumia SH 3 BILIONI Uchaguzi Mdogo wa Igunga

CCM yatumia SH 3 BILIONI Uchaguzi Mdogo wa Igunga

Hiyo ni hela ndogo sana kwa ccm , chadema hizo 400m zimewafanya wafilisike na kaunti zao zote benki ziko tupu. Haya tembezeni bakuli sasa mko ohe ahe hamna kitu

Hakika nisipojizuia naweza kuwa napigwa ban kila siku kwa kushughurika na wapuuzi kama hawa!Milion 400 ni pesa ya ruzuku ya chadema kwa mwezi mmoja tu! Acha vyanzo vingine kama michango mbalimbali! Sasa huyu mpuuzi anakurupuka tu!
 
Back
Top Bottom