CCM yashinda ushindi wa kishindo chalinze

CCM yashinda ushindi wa kishindo chalinze

Chama Cha Mazezeta!
..... ..... . .
. . . . . .
. . . . .
. . . .
..... ..... . .


Haya endelee kuchagua hao wanaonufaika na umasikini wenu tuone mtafika wapi!!

Sisi wengine tunakula kuku kwa mrija tu,msipobadilika na mkachagua mabadiliko shauri yenu!Msitusumbue na kuomba pesa ya kula tunapopita mabarabarani maana UMASIKINI mmejitakia wenyewe!!!

Kila la kheri!

Ujumbe huu nimeupenda!
 
jibu ni dogo kuwa inajua kucheza na akiri za wajinga
Bado natafuta jibu la "kwanini CCM inapendwa sehemu zenye umasikini wa kutupwa na kule kwenye elimu duni?" ............ will be ryt back!
 
mh yale maeneo masikini ndo wanaendele kushinda mh wananch amkeni..ni wakat wa kuchagua mtu na si chama..eboo!! mmechanjiwa damu ya kijani jama? inasikitisha sana maana wananchi wamebaki njia kuu teh teh..hawataki kuchepukia vyama vingine....
 
wanafki wakubwa mngekua na uchungu mngewatoa kwenye hali walonayo. mnawasanifu

Ushasikia ya Slaa? anakula bata na babysitter wa mtoto wa nje ya ndoa aliyezaa na Josefina kwenye 5 star hotel. Kumbuka kwa pesa zetu walipa kodi.
 
Na bado sana. Wewe unaemwambia mwenzako mkazi wa milembe siasa umeanza kujua lini. Na wewe mzazi wako si CCM? Basi naye atakuwa mkazi wa milembe au? Acheni siasa za chuki. Umetupwa amka uangalie umekosea wapi. CCM hoyeee.



Hoyeeeeee!!!!
 
ccm oyeeeeeeeeeee. riziwan oyeeeeeeeeeeee.. wana ccm oyeeeeeeee
 
imekuwa ni furaha kubwa kwa wana ccm pande zote za tz kwa kuwabwaga chadema vibaya bila kuwaonea huruma even if walianza kutapatapa kwa kusema hawakutaka kushinda nia ilikua ni kukitangaza chama pwani shiiiiiiiiiiiit!!!!!!!!!
unafunga banda farasi kashatoka? ni kichapo tu mwaka huu mtamkumbuka zitto mwaka huu
ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!

Furaha na sherehe za nini? wakati huyo mshindi wa ubunge ndo raisi wa JMT? au siku hizi ubunge ni bora kuliko uraisi?
 
Kama kila aliyesema oye inatoka rohoni mwake na akilini mwake basi kazi ya ukombozi ni ngumu!mtumwa anayemshangilia bwana wake unamwelewaje?,na kwamba siku ya sherehe ya tajiri mtumwa anapata sehemu kubwa ya makombo naye anaamini yuko kwenye sherehe pia?majanga matupu natamani kutembea na taa ya kuwaka kila nikipita eneo liitwalo chalinze wakati wa mchana-maana kumbe katika mwanga huu kuna wengi tu wako gizani
 
Hongereni kea ushindi!

Miaka 50 iliyopita, tangu TAnu na CCM kutawala CHalinze, maisha ya wanachalinze ni duni sana. Wamewapa nafasi kuwaletea maendeleo, ila nina uhakika mwakani mtakwenda tena na ngonjera hizi hizi mlizowatolea kipindi hiki huku mbunge na wanafiki wake wakila kuku Dar

Kilio cha masikini hakipotei bure! Ahidi na tekeleza!
 
Nilisema cdm ikishinda chalinze ntajiuwa hadharanu haya njooni huku nyie mambulula mtoe sababu za uongo mlizozoea kila mara mnaposhindwa alafu hayoooooooo yamepata kuta elfu 2 nazo ni za wamasai wasiotaka kwenda shule .
 
Ulihisi mbulula wanguchykua jimbo????
 
Jumattatu ataateuliwa na my raisi kuwa mjumbe wa katiba

Matumaini yetu nape mtupe ratibakueeelekea dom
 
imekuwa ni furaha kubwa kwa wana ccm pande zote za tz kwa kuwabwaga chadema vibaya bila kuwaonea huruma even if walianza kutapatapa kwa kusema hawakutaka kushinda nia ilikua ni kukitangaza chama pwani shiiiiiiiiiiiit!!!!!!!!!
unafunga banda farasi kashatoka? ni kichapo tu mwaka huu mtamkumbuka zitto mwaka huu
ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!

We kenua meno kwa kusema ccm Oyeeeee huku wanaume wanatafuna meno ya Tembo wenu. Wajinga kama nyie ndio mtaji wa mafisadi
 
chadema muombeni msamaha zito la sivyo hicho chama kitapotea kabisa
 
Zitto anaingieje hapa?

avatar173744_5.gif
 
Back
Top Bottom