Hivi baba'ko akiiba utafungwa wewe?
Hongera Riz sasa tekeleza ahadi hayo mengine ni upepo unapita
Bado natafuta jibu la "kwanini CCM inapendwa sehemu zenye umasikini wa kutupwa na kule kwenye elimu duni?" ............ will be ryt back!
Poleni Chalinze ....
Wewe ni mgense tu wa magamba konyoimekuwa ni furaha kubwa kwa wana ccm pande zote za tz kwa kuwabwaga chadema vibaya bila kuwaonea huruma even if walianza kutapatapa kwa kusema hawakutaka kushinda nia ilikua ni kukitangaza chama pwani shiiiiiiiiiiiit!!!!!!!!!
unafunga banda farasi kashatoka? ni kichapo tu mwaka huu mtamkumbuka zitto mwaka huu
ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!
ww,w,nan,mm
Kwa uandishi huu sijui masters uliipataje
imekuwa ni furaha kubwa kwa wana ccm pande zote za tz kwa kuwabwaga chadema vibaya bila kuwaonea huruma even if walianza kutapatapa kwa kusema hawakutaka kushinda nia ilikua ni kukitangaza chama pwani shiiiiiiiiiiiit!!!!!!!!!
unafunga banda farasi kashatoka? ni kichapo tu mwaka huu mtamkumbuka zitto mwaka huu
ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!
Ujumbe huu nimeupenda!
ww,w,nan,mm
Kwa uandishi huu sijui masters uliipataje
Kama kakuwekea dhamana na pia kwenye siasa zetu za bongo kuna waziri kivuli, mbunge kivuli nasikia pia kutakuwepo na diwani kivuli, hapo sasa changanya na za kwako!Hivi baba'ko akiiba utafungwa wewe?
Yaani hapo bendera ina thamani kuliko nyumba wanayolala.....duuuh