CCM yashinda ushindi wa kishindo chalinze

CCM yashinda ushindi wa kishindo chalinze

ndugu mama yangu hawezi kusikitika kuzaa mtoto msomi anayemjali mm ndg yng now nafanya phd ya political science with international laws sasa mm n ww sijui nan mkaz w mirembe mm nimechagua chama chenye viongoz makini mwenyekiti phd makamu phd wew sasa ww umechagua chama kiongoz wake form failure wapambe wake bavicha kina lema na wengne nan mkaz w mirembe?
ww,w,nan,mm
Kwa uandishi huu sijui masters uliipataje
 
Wanachalinze wameamua kuchagua matatizo.
 
Sijui chama changu kitakuja kushinda lini
 
Ni wendawazimu tu watakao shangilia ushindi wa ccm tena mkoa wa Pwani. Sasa uchaguzi umeisha nenda katembelee vijijini hasa wilaya ya Bagamoyo ambako chalinze iliko ujionee hali ya maisha ya watu. Unashangilia kushinda wameshinda nini?

Ngoja sasa tuone hizo ahadi zilizomwagwa na hasa ununuzi wa matrekta kila kijiji. AMA KWELI WAJINGA NDIO WALIWAO

Hapa Kawe maisha yamekuwa ya neema toka achaguliwe mbunge wa CDM.
 
poleni wana-chalinze kwa kuchagua umaskini, ubwenyenye, ubadhilifu na uchafu mwingine. hakika umaskini ni halali yenu
 
Unacheua ubwabwa wa jana. Mnauza utu kwa ubwabwa, t shirt, kofia na kanga. Kesho uliyemchagua yuko kwenye gari tinted hataki kuonekana. Iko siku mtajutia umbumbumbu wenu.

Ata ungekua ww ucngetembea kwa miguu...
 
Chama Cha Mazezeta!
..... ..... . .
. . . . . .
. . . . .
. . . .
..... ..... . .


Haya endelee kuchagua hao wanaonufaika na umasikini wenu tuone mtafika wapi!!

Sisi wengine tunakula kuku kwa mrija tu,msipobadilika na mkachagua mabadiliko shauri yenu!Msitusumbue na kuomba pesa ya kula tunapopita mabarabarani maana UMASIKINI mmejitakia wenyewe!!!

Kila la kheri!
 
we chikaka kwani hao chandema mavi wamefanya lipi jipya katika majimbo yao. si haba ccm wameendeleza miji mabarabara
 
Nakereka napo Zitto ikiwa ndio chanzo cha kushindwa Chadema katika chaguzi ndogo? Kule Tunduru alikuwepo CDM ikashindwa, Busanda alikuwepo wakashindwa, Mbeya vijiiini wakashindwa.

Acheni kupotosha kwa makusudi
 
Mbona hiyo ilijulikana kushindaa ubungee wenye serikali yao washindwee tenaa
 
imekuwa ni furaha kubwa kwa wana ccm pande zote za tz kwa kuwabwaga chadema vibaya bila kuwaonea huruma even if walianza kutapatapa kwa kusema hawakutaka kushinda nia ilikua ni kukitangaza chama pwani shiiiiiiiiiiiit!!!!!!!!!
unafunga banda farasi kashatoka? ni kichapo tu mwaka huu mtamkumbuka zitto mwaka huu
ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!

Hongereni. Ila nilichokiona kwenye taarifa ya habari ya ITV kimenisikitisha sana, yaani Katibu wa Tawo la CCM kawatapeli na kuchukua kadi za wapiga kura na hadi uchaguzi unafika hajarudisha!
 
Kila chama kina ngome zake! Mtaji wenu ni mazezeta wenzenu.....!

Sawa, kwa kuwa kwenye ngome ya SACCOS yenu hakuna Mb Chasaka mlivyo wa kale (primitive). Ni mwenyewe tu. Ila nje ya Kilimanjaro mnataka kutawala wakati kwenu hamtaki na siasa zenu za Majimbo. Mmeshikwa pabaya na mtatoa visingizio vyote. Hii ni laana ha Zito inawala tartibu. Mtajiju
 
Back
Top Bottom