We ni mjinga, mama yako asikitike kuzaa mkazi wa Mirembe
Kamanda Lia taratibu wasijesikia majirani maskini poleni sana, haya masisiemu mashetani kabisa, teh teh teh inaumaa eeh vumilia lakini
Li chama la walalahoi na mbumbumbu wakupewa chumvi na kilo ya sukari! Wasomi wote na wajanja wa mjini hawashoboki na magamba! Good news is mtaji wenu soon utaisha kizazi kinachokuja hakidanganyiki your days are numbered!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mkubali tu hamkubaliki, badala ya kuzua mambo ya kufikirika. Muungwana akivuliwa nguo huchutama
ndugu mama yangu hawezi kusikitika kuzaa mtoto msomi anayemjali mm ndg yng now nafanya phd ya political science with international laws sasa mm n ww sijui nan mkaz w mirembe mm nimechagua chama chenye viongoz makini mwenyekiti phd makamu phd wew sasa ww umechagua chama kiongoz wake form failure wapambe wake bavicha kina lema na wengne nan mkaz w mirembe?
We ni mjinga, mama yako asikitike kuzaa mkazi wa Mirembe
Poleni Chalinze ....
oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!
imekuwa ni furaha kubwa kwa wana ccm pande zote za tz kwa kuwabwaga chadema vibaya bila kuwaonea huruma even if walianza kutapatapa kwa kusema hawakutaka kushinda nia ilikua ni kukitangaza chama pwani shiiiiiiiiiiiit!!!!!!!!!
unafunga banda farasi kashatoka? ni kichapo tu mwaka huu mtamkumbuka zitto mwaka huu
ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!