CCM yapoteza Wenyeviti wa mitaa Mbeya; wahamia CHADEMA

Mbeya, Mwanza, Kilimanjaro, Arusha..
Hii ndio mikoa pekee inayoifahamu taasisi wa Wakr...., na wakask...(CDM) hapa tanzania

Taratibu mnaanza kupanua uwigo wenu uliojengwa kwa mabua.Mlidai ni cha Wachaga,Mkaja cha Wakristo na sasa mmekubali kuwa Mwz,Ar,Klm na Mby ni wajanja.Bado kidogo mtakubali pia na Ikulu ni yetu wajanja....PEOPLESS PAWAAA
 
Chadema Ilianzia Kanisani!! Na itaishia Kanisani! Haiwezi kuingia Ikulu!

Wakristo ndio waliotufikisha hapa! Akina Ben mkapa wameuza mashirika yetu, nyumba zetu, mashamba yetu, kina chenge wameingia mikataba ya kuuza nchi yetu, akina Makinda vilaza wakubwa wanazuia haki isitendeke pale bungeni! TRA wezi, hawakusanyi kodi ipasavyo, Nenda bodi ya Pamba, uozo Mtupu, ATCL na mkurugenzi wake ulaji tu!! Hatuwataki tena, mnatafuna nchi bila huruma!!

Na pesa zenu za dhulma mnawaza ngono tu!! Nenda kanisani, wanavaa kama hivi!!

Sishangazwi sana na kauli kama hizi.. Kama katika wanafunzi waliochaguliwa kuingia kidato cha kwanza 5000 miongoni mwao hawajui kusoma..! :doh::doh:
 
Mbeya, Mwanza, Kilimanjaro, Arusha..
Hii ndio mikoa pekee inayoifahamu taasisi wa Wakr...., na wakask...(CDM) hapa tanzania

Acha kuruka sarakasi ukiwa umevaa msuri ama kanzu bila kuwa na chu+pi ndani, utabaki uchi siku Chadema wakichukua nchi.
 
Mbeya, Mwanza, Kilimanjaro, Arusha..
Hii ndio mikoa pekee inayoifahamu taasisi wa Wakr...., na wakask...(CDM) hapa tanzania

last week ulisema moshi na arusha, leo umeongeza mbeya na mwanza.
Siku zinavyozidi kwenda utajikuta unaorodhesha mikoa yote ya TZ.
Anyway, usiogope mr. green guard najua upo utumwani huna namna.
 
Kwa Muda tulionao, kuendelea kukaa CCM kudhihirisha usariti juu ya taifa na juu ya nafsi ya mtu mwenyewe. siamini kama kuna mtu mwenye akili timamu aliyena ukombozi kamili kifikra bila kutegemea kubebwa hata pasipostahili hawezi kuitetea CCM kwa namna yoyote ile. :crying::crying:
 
Kinyume chake ndio sahihi mkuu! Maumivu ya kichwa huanza pole pole ha! ha! ha! ha!

Hahahahaha, Chadema kinaongozwa na vilaza sana, yaani viongozi wakuu wa Chadema hawawezi hata..... eti hao ndio viongozi wake.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Mbeya, Mwanza, Kilimanjaro, Arusha.. Hii ndio mikoa pekee inayoifahamu taasisi wa Wakr...., na wakask...(CDM) hapa tanzania
Subiri tutakapo hamia pwani....mpaka mama kikwete atahamia CHADEMA maana anajua chama anacho ongoza mwanae hakina dira tena.
 
Hahahahaha, Chadema kinaongozwa na vilaza sana, yaani viongozi wakuu wa Chadema hawawezi hata..... eti hao ndio viongozi wake. . "WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
Nani kafundisha kutumia Computer wewe masaburi maana inaonyesha hata hujui unachokiandika...
 
Wakristo ndio waliotufikisha hapa! Akina Ben mkapa wameuza mashirika yetu, nyumba zetu, mashamba yetu, kina chenge wameingia mikataba ya kuuza nchi yetu, akina Makinda vilaza wakubwa wanazuia haki isitendeke pale bungeni! TRA wezi, hawakusanyi kodi ipasavyo, Nenda bodi ya Pamba, uozo Mtupu, ATCL na mkurugenzi wake ulaji tu!! Hatuwataki tena, mnatafuna nchi bila huruma!!

Udini hauna macho. Kwa tafsiri yako JK, Dr Bilali, Said Mwema na wengine waliojaa kwenye serikali ya JK nao ni wakristo. Akili zako kama avatar yako. Unawaza mambo ya kitandani tu.

Back
Top Bottom