CCM yapoteza Wenyeviti wa mitaa Mbeya; wahamia CHADEMA

Nani kafundisha kutumia Computer wewe masaburi maana inaonyesha hata hujui unachokiandika...

CCM ndiyo imenifunza kutumia kompyuta, naamini hata wewe bila CCM ungekuwa unachunga ng'ombe kwenu.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Mbeya, Mwanza, Kilimanjaro, Arusha..
Hii ndio mikoa pekee inayoifahamu taasisi wa Wakr...., na wakask...(CDM) hapa tanzania

Rejao, vyovyote vile unavyojiita mwenyewe, nilijua umeishiwa credit, maana asubuhi umekomaa kupost Sherehe za muungano wa TANU NA ASP, Halafu mkuu wa kaya alipozomewa hukusema, badala yake ukaachana na huo uzi. Kumbe umekimbilia huku, wewe kweli ni wa kutumwa. Naheshimu uhuru wa maoni na uhuru wa taarifa, Lakini angalia hivyo vijisenti unavyopewa kuja kupima upepo vitakughalimu siku moja. Nakupa tahadhari ndugu, wengi yaliwatokea puani.
 
Back
Top Bottom