umaskini wetu mtaji wa ccm! hakuna barabara wala huduma muhimu langilo!!Nape Nnauye ni mwongo, kule kwetu hatuna Langido, tunayo Langilo ipo wilaya ya Mbinga! Nape njoo utuambie ahadi....
Chadema, Chadema, Chadema... Nape we ni muenezi wa CCM.. Why should all your speeches start with Chadema? Kuna vyama vingine 18 ambavyo vilikuwa na mandate ya kuweka mgombea huko... Lakini asubuhi yote hii umekurupuka kitandani kuja kuandika kuhusu CDM. Kweli wamekushika pabaya...
unatia aibu bro ni bora ukatulia uone unachofanya ni kizuri au vp me naona unakurupuka bila kufanya tathimin unachokiongea kwan sidhan kama kuna umhim wowote wa kudiri na chadema kias hicho,JIPANGE BRO NI USHAURI TUKatika hali inayodhihirisha kuwa Chadema wana kufa kwa kasi ya ajabu, wamefikia mahali pa kushindwa kuwa na mgombea wa Udiwani kata ya Langido mkoani Ruvuma kiasi cha kuifanya CCM ipite bila kupingwa na hivyo kuanza na kata moja tayari kati ya kata 26 zinazofanya uchaguzi mdogo.
kama watani hata kusimamisha mgombea tu kwenu inakuwa tabu tena wa kata kweli mko serious kutaka kuaminiwa kukabidhiwa nchi? Hili limenifanya nikumbuke maeneo kibao mwaka 2010 ambayo majimbo na kata hamkusimamisha agombea au mliwatelekeza pale mliposimamisha! Na sasa nasikia nguvu kubwa mnapeleka Arusha!!!!! Mwenye akili na atafisiri hili!
Itawachukua muda kidogo kukomaa!
Duh mbona akina mnyika na makene wapo kimya hawafanyi kama wewe hivyo duh me nadhan jipange sana ka vp usiwe unapost vitu hum jfHoja mufilisi kabisa, yaani wewe unataka kumhubiri Mungu bila kumtaja shetani?!!!! Injili gani hiyo?
Hoja mufilisi kabisa, yaani wewe unataka kumhubiri Mungu bila kumtaja shetani?!!!! Injili gani hiyo?
Hoja mufilisi kabisa, yaani wewe unataka kumhubiri Mungu bila kumtaja shetani?!!!! Injili gani hiyo?
Ruvuma ni mbali na makao makuu ya CHADEMA hivyo wanapaswa kusamehewa huko chama hakijafika kikamilifu; shangaa hata kata ya Mianzini, wilayani Temeke, mkoani DSM inasadikiwa CHADEMA hawatii nguvu yeyote kugombea udiwani; WAO ni ARUSHA tu; haya ni maajabu ya CHADEMA
Katika hali inayodhihirisha kuwa Chadema wana kufa kwa kasi ya ajabu, wamefikia mahali pa kushindwa kuwa na mgombea wa Udiwani kata ya Langido mkoani Ruvuma kiasi cha kuifanya CCM ipite bila kupingwa na hivyo kuanza na kata moja tayari kati ya kata 26 zinazofanya uchaguzi mdogo.
kama watani hata kusimamisha mgombea tu kwenu inakuwa tabu tena wa kata kweli mko serious kutaka kuaminiwa kukabidhiwa nchi? Hili limenifanya nikumbuke maeneo kibao mwaka 2010 ambayo majimbo na kata hamkusimamisha agombea au mliwatelekeza pale mliposimamisha! Na sasa nasikia nguvu kubwa mnapeleka Arusha!!!!! Mwenye akili na atafisiri hili!
Itawachukua muda kidogo kukomaa!
Katika hali inayodhihirisha kuwa Chadema wana kufa kwa kasi ya ajabu, wamefikia mahali pa kushindwa kuwa na mgombea wa Udiwani kata ya Langido mkoani Ruvuma kiasi cha kuifanya CCM ipite bila kupingwa na hivyo kuanza na kata moja tayari kati ya kata 26 zinazofanya uchaguzi mdogo.
kama watani hata kusimamisha mgombea tu kwenu inakuwa tabu tena wa kata kweli mko serious kutaka kuaminiwa kukabidhiwa nchi? Hili limenifanya nikumbuke maeneo kibao mwaka 2010 ambayo majimbo na kata hamkusimamisha agombea au mliwatelekeza pale mliposimamisha! Na sasa nasikia nguvu kubwa mnapeleka Arusha!!!!! Mwenye akili na atafisiri hili!
Itawachukua muda kidogo kukomaa!
Ametoa tu taarifa na siyo kutangaza ushindi. Ni jukumu lake kufanya hivyo. BTW, hata atangaze nani, hali halisi haibadiliki! CCM ni washindi, na wataendelea kuwa hivyo daima!Chadema, CUF,TLP et al wajibu kwanini hawakumweka mtu
hata hivo Nape kwa cheo chako ukitangaza wewe
ushindi wa kata, je katibu wa chama wilaya atakuwa na kazi gani?
huoni unajishushia heshima?
Hoja mufilisi kabisa, yaani wewe unataka kumhubiri Mungu bila kumtaja shetani?!!!! Injili gani hiyo?
Mkuu naona ukilala unaota CHADEMA,angalia isije ikafikia ukiwa FARAGHA na SHEMEJI ukabwatuka CHADEMA,CHADEMA!Katika hali inayodhihirisha kuwa Chadema wana kufa kwa kasi ya ajabu, wamefikia mahali pa kushindwa kuwa na mgombea wa Udiwani kata ya Langido mkoani Ruvuma kiasi cha kuifanya CCM ipite bila kupingwa na hivyo kuanza na kata moja tayari kati ya kata 26 zinazofanya uchaguzi mdogo.
kama watani hata kusimamisha mgombea tu kwenu inakuwa tabu tena wa kata kweli mko serious kutaka kuaminiwa kukabidhiwa nchi? Hili limenifanya nikumbuke maeneo kibao mwaka 2010 ambayo majimbo na kata hamkusimamisha agombea au mliwatelekeza pale mliposimamisha! Na sasa nasikia nguvu kubwa mnapeleka Arusha!!!!! Mwenye akili na atafisiri hili!
Itawachukua muda kidogo kukomaa!
Mafalili, kwa bahati nzuri kata ya Mianzini Chadema itashinda, wewe uko mbali sana kiongozi na kata hii na kama uko Dar karibu tukapimane nguvu, tunajua kuna vyama sita vimesimamisha wagombea, na ninakuhahidi kiongozi kwa kuwa siasa siyo chuki karibu pale Mianzini acha kujificha humu, njoo ukitetee chama chako cha Magamba......, lakini umemsikia mgombea wenu alivyo?.... hakya mungu Utacheka....mbaya sana ule mgogoro wao na mitaa migine, yetu macho.