Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Kusema kweli mimi binafsi nina m-admire mbunge wa temeke kwa kazi nzuri ya kuhakikisha barabara zinakuwa za lami kwenye vichochoro vyote. Kwa hili nampongeza huyu mbunge. Hakuna wilaya ambayo barabara zake nyingi ni lami kama temeke.
Tiba
Sijaona bus terminal kula yanakoenda mabasi mengi ya temeke, sijui Tandika, ni kituo kikubwa kila ruti inapanki mtaa wake. Nilipata taabu karibu dakika kumi sijajua basi ninalotaka kupanda linapaki wapi, wapi yanageuza,nk, yaani ovyo kabisa kana kwamba hakuna viongoze wenye akili timamu kuweka mambo sawa huko.
Shauri ya kuchukua bock moja na kuwalipa fidia wenye nyumba kisha kuweka kituo cha mabasi, lakini kuendelea kama ilivyo ni kuumiza abiria.