Aibu gani wamepata hivi kuna aibu kama kupora mke wa mtu na kutelekeza familia au kuzaa nje ya ndoa.
Tuwekeeni na ile Picha ya Kamanda Msigwa akifungua Kampeni za Udiwani kata ya Nduli.
Mzungu ndiye aliyeleta utumwa angalia mabaki ya watu weusi yako wapi katika mabara ya dunia ?
Zinajengwa na mashemeji[/QUOT
Cheza na mabinti wa kichaga weye
Zinajengwa na mashemeji[/QUOT
Cheza na mabinti wa kichaga weye
Wameshawahakikishia kutonyanyasika hata kama kaka watajifanya wapinzani
Utajiju, hiyo imewekwa kwenye vichochoro vya.ko!Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Kusema kweli mimi binafsi nina m-admire mbunge wa temeke kwa kazi nzuri ya kuhakikisha barabara zinakuwa za lami kwenye vichochoro vyote. Kwa hili nampongeza huyu mbunge. Hakuna wilaya ambayo barabara zake nyingi ni lami kama temeke.
Tiba
.Kumbe hata cdm wakishika dola hawatajenga bali tutajenga watz kwa kodi zetu. Ngoja tu ccm aendelee kuongoza...