Tiba
JF-Expert Member
- Jul 15, 2008
- 4,607
- 3,188
Mtemvu ndiye mbunge pekee wa Dsm atakayerudi mjengoni mwaka 2015
Sina uhakika sana na hili. Sasa kwa nini watu waligomea mkutano wake? I am just being curious?
Tiba
Mtemvu ndiye mbunge pekee wa Dsm atakayerudi mjengoni mwaka 2015
YUVA HERI MIMI SIJASEMA! Tiba !shauri yako ngoja watoke nanii utajuta kuwachokoza!Mkuu weka kumbukumbu sawa sema Mtemvu anawasaidia vijana kwenda "utumwani" huko Uarabuni.
Tiba
Du mmeanza!Mzungu ndiye aliyeleta utumwa angalia mabaki ya watu weusi yako wapi katika mabara ya dunia ?
Ila ndo ndo pato kubwa la nchi linapotokea......nadhani hilo ulisahau kuandikaAsilimia kubwa ya wakazi maskini jijini Dsm wanaishi Temeke. Umaskini unaweza kutafsiriwa kulingana na mazingira au utamaduni wa wahusika. Hata hivyo, kwa ujumla wake makazi duni, miundo mbinu duni na vipato vidogo vinaiweka Temeke kuwa maskini zaidi.
Kuondoa umaskini Temeke ni muhimu kubadilisha fikra za wakazi kwanza na siyo kutegemea mbunge binafsi kuendeleza eneo hilo.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Kusema kweli mimi binafsi nina m-admire mbunge wa temeke kwa kazi nzuri ya kuhakikisha barabara zinakuwa za lami kwenye vichochoro vyote. Kwa hili nampongeza huyu mbunge. Hakuna wilaya ambayo barabara zake nyingi ni lami kama temeke.
Tiba
Rest in hell magambaz!!mmewapa wananchi maisha magumu na laana hii haitawaacha salama...
Mbunge wa Temeke mh, Abasi Mtemvu na diwani mh. Zena Mgaya jana walipata aibu kubwa katika kata ya Tandika baada ya kuhutubia watu kumi katika viwanja vya Mbonde yangu macho.
Mtevu amewadanganya wananchi wa Temeke kwamba Temeke kuna barabara nzuri kuliko Masaki na mwisho kaishia kuwatuhumu CHADEMA kwamba wanawadanganya watu wa Temeke kwamba CCM aifai.
.View attachment 134996
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Kusema kweli mimi binafsi nina m-admire mbunge wa temeke kwa kazi nzuri ya kuhakikisha barabara zinakuwa za lami kwenye vichochoro vyote. Kwa hili nampongeza huyu mbunge. Hakuna wilaya ambayo barabara zake nyingi ni lami kama temeke.
Tiba
Kamani kweli basi ahame kwa maCCM.Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Kusema kweli mimi binafsi nina m-admire mbunge wa temeke kwa kazi nzuri ya kuhakikisha barabara zinakuwa za lami kwenye vichochoro vyote. Kwa hili nampongeza huyu mbunge. Hakuna wilaya ambayo barabara zake nyingi ni lami kama temeke.
Tiba
Sina uhakika sana na hili. Sasa kwa nini watu waligomea mkutano wake? I am just being curious?
Tiba
Njoo Moshi uone lami vichochoroni